Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
- Thread starter
- #1,741
Bado dakika 7 mkuu....Bado dakika ngapi?
Bado dakika 7 mkuu....Bado dakika ngapi?
Bado dakika 7 mkuu....
Yanga inagawa raha tanzania bila kujali itikadi.
Kipa wa Yanga....Ally Mustafa kaumizwa tena........Refa anaangalia tu.......WtfMkuu Bala tuko pamoja, ninaiombea timu ya wananchi iingie fainali na kuchukua ubingwa mikononi mwa simba b.
Japan 1 Spain 0 FT kapakatwa mtu olympic
Mkuu Bala tuko pamoja, ninaiombea timu ya wananchi iingie fainali na kuchukua ubingwa mikononi mwa simba b.
Dakika ya 115
APR 0-1 Yanga
Ila Azam lazima wawapige bao kwenye fainali
Acha unazi Nkwingwa....Hivi haujaona jinsi Kipa Mustafa wa Yanga alivyovamiwa na wachezaji wawili wa APR kwa lengo la kumnyang'anya mpira alioudaka?Yanga wanapoteza muda hapa