Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Aramba aramba tena aam aaam.............
hahahaha subiri kiama chako utaikimbia kompyuta....
Aramba aramba tena aam aaam.............
huu ni mwaka wamaajabu azam fc nusu mara kwanza jon boko;
hat trick mara ya kwanza cecafa
hat trick mara ya kwanza kuifunga simba..
Forza Azam FC wazee wa lamba lamba..
Sina tabia ya kuikimbia Kompyuta wala uwanja mimi......Poleni sana kwa kupakatwa na Azam.....Kila siku nakwambia mpira hauchezwi mdomoni....Mpira unachezwa uwanjani......Dakika 90 kama sio 93hahahaha subiri kiama chako utaikimbia kompyuta....
ndo wakati wake sasa.
Hapo umewasahau na wauaji wa SC Villa.....Zamoyoni Mogella na Kocha mchezaji Hassan Afifleo nilikuwa nasikiliza kanda yangu niliyoirekodi miaka ile kati ya Simba na SC Villa ya Uganda...Enzi ya akina Mackenzi, Raphael Paul, Twaha Hamidu, Jamhuri Kihwelu, Frank Kasanga Bwalya, Ramadhan Leny, Issa Kihange....dah
Kijana naona una furaha ya ajabu......huu ni mwaka wamaajabu azam fc nusu mara kwanza jon boko;
hat trick mara ya kwanza cecafa
hat trick mara ya kwanza kuifunga simba..
Forza Azam FC wazee wa lamba lamba..
Sina tabia ya kuikimbia Kompyuta wala uwanja mimi......Poleni sana kwa kupakatwa na Azam.....Kila siku nakwambia mpira hauchezwi mdomoni....Mpira unachezwa uwanjani......Dakika 90 kama sio 93
mkuu mpira ni mchezo wa makosa ndiyo maana hata chelsea aliweza kuitoa barc kwenye uefa
Kijana naona una furaha ya ajabu......
Kumbukumbu zinaonesha Hamis Kiiza 'Diego' alifunga Hat trick pia siku ya mechi ya Yanga na WAU Salaam
leo nilikuwa nasikiliza kanda yangu niliyoirekodi miaka ile kati ya Simba na SC Villa ya Uganda...
Enzi ya akina Mackenzi, Raphael Paul, Twaha Hamidu, Jamhuri Kihwelu, Frank Kasanga Bwalya, Ramadhan Leny, Issa Kihange....
dah
Leo hamlalie!!!Habari ndio hiyo
![]()
Na sasa hivi ni bur'daani hapa....
![]()