CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

pengine simba walidhani wanacheza na Azam ya kombe la urafiki
 
leo nilikuwa nasikiliza kanda yangu niliyoirekodi miaka ile kati ya Simba na SC Villa ya Uganda...

Enzi ya akina Mackenzi, Raphael Paul, Twaha Hamidu, Jamhuri Kihwelu, Frank Kasanga Bwalya, Ramadhan Leny, Issa Kihange....

dah
 
tangu lini balotelli wa bongo akaanza ...mara nyingi huwa anaingia sab...namzungumzia haruna

Umeona enh,this is the mistake Milovan has done....waliporudisha goli 1 walikuwa wamerudi mchezoni vizuri,mida ile kama Boban angeanzia nje ndo ilikuwa ya kuingia lazima wange'pick
 
Afadhali lkn Sunzu katoa gundu angalau kafunga goli la offside
 
Umeona enh,this is the mistake Milovan has done....waliporudisha goli 1 walikuwa wamerudi mchezoni vizuri,mida ile kama Boban angeanzia nje ndo ilikuwa ya kuingia lazima wange'pick

assumption?
 
Umeona enh,this is the mistake Milovan has done....waliporudisha goli 1 walikuwa wamerudi mchezoni vizuri,mida ile kama Boban angeanzia nje ndo ilikuwa ya kuingia lazima wange'pick

ushauri au?
 
Huyu Mtangazaji gani? Hana shamra shamra kama akina Ahmed Jongo; labda nimeondoka Bongo Muda Mrefu
 
Parapanda italia parapandaa, parapanda italia parapanda; wateule watakuwa wamekwisha nyakuliwa, kumlaki Bwana ... mawinguni!

Bado Azam 3-1 Simba dakika 90 zimeongezwa 3 tu za kujinasua.
 
Back
Top Bottom