dakika 12 azam 0 as vita 0
Kiss FM wanautangaza mkuu...Ball position pls,nani anashambuliwa sana?
Azam wanashambilia sana ila vita wanacheza kwa akili sana na taadhariBall position pls,nani anashambuliwa sana?
Watakulipa?na wakimaliza michuano ondoka nao!Liwalo na liwe kutokana na matusi nilyotukanwa juzi, leo nitakuwa upande wa APR....Kudadadeki
Liwalo na liwe kutokana na matusi nilyotukanwa juzi, leo nitakuwa upande wa APR....Kudadadeki
Mkuu niko mbali na wala siwezi tumia radio mpaka jioni.......Kiss FM wanautangaza mkuu...