CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Tunomba waandishi mchukue picha ya musonye jinsi alivyo kwa sasa ha ha ha ha
 
Kiongozi,hujaijua Yanga ya sasa hivi wewe embu angalia hii list:-

1. Berko/Barthez
2. Juma Abdul/Godfrey Taita
3. Oscar Joshua/David Luhende
4. Canavaro/Ladislaus Mbogo
5. Kelvin Yondani/Chuji anaweza ku'cover hapa
6. Chuji akicheza mahala pake/Kijiko
7. Nizar/Rashid Gumbo/Shamte Ally
8. Febregus/kuna mtoto anaitwa Domayo...huyu ni noma
9. Kiiza/Tegete
10. Bahanuzi/kuna Dogo anaitwa Simon Msuva...huyu ni balaa
11. Mwasyika/Idrissa Rashid

Nafikiri nimejibu swali lako kiufasaha,yaani hao waliokuwa bold ndo 1st eleven ambayo duru za ndani kabisa zimetonya Milovan hataki kabisa kukutana nayo ksbb anajua hana wachezaji wa kuwazuia na hao wengine ndo sub ambazo na zenyewe moto yaani kama ugali moto-mboga moto,bado kuna kina Meddy Kagere wakifanikiwa kusajiliwa itakuwa HATARE siyo HATARI,hapo sijawagusia madogo wengine kama Omega Seme na Salum Telela....Kaka usichezee Yanga hii Kaka

safi sana kaka umempa ukweli!
 
Yanga=CCM...hivyo hata kuropoka kwenu kunafanana kabisa na mijitu ya pale bungeni....ulisema mechi hii itaenda matuta ukabeza mechi inayofata sasa mechi imeisha ndani ya dakika 90, unasemaje....

Nasema hv....NAOMBA NIJUZE MATOKEO YA MECHI INAYOENDELEA SASA HV,sina mawasiliano na uwanjani,tafadhali
 
Ndo maana tunawaambiaga kila siku muuzeni huyo Sunzu wenu,yaani ni mara 10 mkampa hiyo namba yake Kapombe kuliko kuendelea kuwa na yule GARASA
 
dk bado nyingi kwa timu kama simba ni lazima wapull up please
 
Safi sana kapombe tafuta namna nyoyote ile uingize la 2, na 3
 
Bado Azam 2-1 Simba dakika 58 Simba wamedamka kutoka usingizini sasa mchezo ume-balance. Bado Simba wanayo nafasi ya kushinda, wakomae tu.
 
simba wameingia kwa kasi ya ajabu kuna hatari azam wakafungwa goli la pili.
 
Back
Top Bottom