Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
......ina ashiria nini kama Salim Kinje, Kanu Mbiyavanga na Danny Mrwanda wanaanzia benchi wakati wamesajiriwa kwa dau kubwa kwanini stumikie Club ipasavyo????
Mkuu wape nafsi siyo rahisi kuuzoea mfumo wa timu kwa haraka hivyo...