Azam2 simba1.Nasema hv....NAOMBA NIJUZE MATOKEO YA MECHI INAYOENDELEA SASA HV,sina mawasiliano na uwanjani,tafadhali
wakati umefika kwa wabongo kudhani ni simba na yanga tu ndo zinacheza mpira wa maana Tz na/au zinastahilikushinda kila ziingiapo mashindanoni! hizo zibaki kuwa zama za hekaya!
mi nasikiliza live hapa Dullonet Live