CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Pana Kipa kweli pale au pana jezi tu,is that the Kaseja we all know?
 
iwe doto au kulwa yeyote tunacheza nae source: P Kahemele Facebook
 
Jamani hawa viungo wa Azam wasimpe tena Boko,maana wakimpa tu wanarudi kati
 
huyu mtangazaji ni simba maana anatangaza saivi kwa huruma kinoma...
 
hivi yule mchezaji wa simba hatari sana anajiita dula yumo ndani nauliza tu...
 
Dah....................Poleni sana watani.......Ndo ukubwa huo
 
tangu lini balotelli wa bongo akaanza ...mara nyingi huwa anaingia sab...namzungumzia haruna
 
Back
Top Bottom