CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Hongereni Mafunzo hakika mmeiwakirisha nchi yenu vema hata mkitolewa kwa njia ya matuta...
 
siamini kama mafunzo wamewapelekesha yanga dk90
 
Station gani mkuu, ziko nyingi sana zinazo tangaza badilisha...

Ngoja nifanye mabadiliko nione kama station nyingine atasikika vizuri, maaha hapa mikwaruzo na makelele mengi sijui chumba cha mtangazaji hakina control ya makelele.
 
Yanga waliingia kichwa kichwa walifikiri Mafunzo ni kama Wau Salaam.
 
yanga mwaka jana alipita kwa bahati hata leo watapita
 
Back
Top Bottom