CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Ha ha ha ha Yanga kweli team ya Wananchi, naona kila mtu anaombea Yanga ishinde leo isipokuwa Milovan na Simba yake
Tatizo lako wewe unaushabiki wa kijinga...kwa hiyo mimi nikisema naomba leo yanga ashinde basi nina mapenzi na yanga, sahau nataka tukutane fainali ili tuje tuwafunge tano zingine....na cha msingi kombe libaki Tanzania maana likiondoka wakati tuna timu nne kati ya nane ni aibu kubwa sana kwa taifa...
 
bora hi gemu ya butua butua iishe ili tuangalie drafti la watoto wa jangwani lol!
 
duu kazi kwa yanga sasa.. maana lazima mafunzo ishinde..
 
Back
Top Bottom