Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
- Thread starter
- #921
Sunzu ni wa aina ya akina Davis Mwape na Kenneth Asamoah, ni bora kubaki na akina Abdallah Juma na Said Buhanuzi wetu.....Mkuu Sunzu sio Garasa ni upepo tu utapita, mtatamani kumsajili huko tuendako.
Hao akina Sunzu wanalipwa pesa nyingi kweli licha ya kwamba ni magarasa......