nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Game imeisha mjomba.....Ilikuwa inaoneshwa Super Sport 9 na Star TV
Hawaonyeshi Online kama Mwaka Jana? kwa sisi tulio Nje ya Nchi?
Game imeisha mjomba.....Ilikuwa inaoneshwa Super Sport 9 na Star TV
Mtavuka tu mtani.....Akina ndetichia ni wenu siku zote.......Watambania Yanga weee.......Lakini wakikutana na mnyama wanaachia
Mkuu Mafunzo usiwachukulie poa, kuna kiungo mmoja anaitwa Salembe sijui Selembe pale dimba la kati kina Chuji wasipokuwa makini atawaadhiri.
kama ndo hivyo basi esabu kuwa Simba tayari ameisha ingia nusu fainali.
Sunzu ni wa aina ya akina Davis Mwape na Kenneth Asamoah, ni bora kubaki na akina Abdallah Juma na Said Buhanuzi wetu.....
Hao akina Sunzu wanalipwa pesa nyingi kweli licha ya kwamba ni magarasa......
Sunzu a.k.a Mwape wa Simba,nashangaa bado wanaye tu...Mwape wetu tulishamlipa chake akasepa,sisi tunataka Magarasa?
Apr 2 - ura 0 dk 35
sitaki kuhamini URA inachofanyiwa kwa jinsi ilivyoigaragaza Simba, au Derick Walulya, Saimon Massaba, Saimon Mabiru na Senttongo hawamo?????
Kuna kiungo mmoja Owen Kasule hawajamwanzisha sijui ni majeruhi.sitaki kuhamini URA inachofanyiwa kwa jinsi ilivyoigaragaza Simba, au Derick Walulya, Saimon Massaba, Saimon Mabiru na Senttongo hawamo?????
Apr 2 - ura 0 dk 35
kama kawaida, wadau wanasubiri mechi ya Yanga.
Kumbe walitukomalia sisi tu...
Yanga anashinda hata kama ni kwa goli la mkono...
dakika 57 apr 2 ura 1 sentongo