Nipo mkuu...siku hizi naogopa kucoment bcoz nina "aleji"na ban...so nimeamua kua mpole.......tangu march this year nshakula ban3 mkuu!Wewe nawe ulikuwa umeishiwa bundle maana long time no see you.
Tatizo lililopo Simba ni kiungo mtani.....Hakuna mtu sahihi wa kushirikiana na Mwinyi Kazimoto pale kati,ni bora kocha angekuwa anamuanzisha hata Boban........Hawa Mbiyavanga na Amri Kiemba hawapo vizuri kiasi cha kufanya kiungo cha Simba kinapwaya........Na hapo ndipo ninaliona pengo la Mafisango........Kigi Makasi ni mzuri ila kwa sasa ana tatizo moja......Kupooza mpira,hana kasi kama ile aliyokuwa nayo enzi zile akiwa Mtibwa Sugar
Uwe na Adabu mkuu kama sisi, toka 2008 hakuna ban ni heshima tu mkuu na utani mdogo mdogo ambao hamfanyi mtu kuwa na hasira.Nipo mkuu...siku hizi naogopa kucoment bcoz nina "aleji"na ban...so nimeamua kua mpole.......tangu march this year nshakula ban3 mkuu!
Nimekusoma mkuu!Uwe na Adabu mkuu kama sisi, toka 2008 hakuna ban ni heshima tu mkuu na utani mdogo mdogo ambao hamfanyi mtu kuwa na hasira.
Mkuu matokeo yakibaki hivi hivi Atletico watakutana na VITA Club, Timu zote za Tanzania zitakutana zenyewe kwa zenyewe robo fainali.Naona simba watakutana na Atletico