ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
ni kweli, ingekuwa vizuri tungepata nafasi ya kulipa kisasi na ingezekana, lkn oia kwa maslahi taifa ningepenga tusikutane na Azam sasa hivi ili timu zetu nne ikiwemo na Mafunzo zote ziingie nusu fainali
kwa kuwa azam wanajua basi ndio tushaingia nusu fainali kupitia mgongo wa yanga..