Mkuu Balatanda, pengo ni Emmanuel Okwi lakini la Patrick Mutesa Mafisango kwa maana ya namba sita Musa Mude na Jonas Mkude wanaziba vizuri sana, labda kama ni uwezo wa Mafisango kwamba alikuwa anaweza kucheza namba nyingi lakini mtu wa hivyo tunaye Shomari Kapombe na Kigi Makasi.Dah......
Simba hamna kitu jamani.......Jamaa wamewazidi kweli...
Mapengo ya Emmanuel Okwi na Hayati Patrick Mutesa Mafisango yanaonekana dhahiri....
huyo ndo Boban bwana! - hana muda wa kushangilia
Mkuu ripoti basi angalau hata goli la Simba, wewe ni kuwasifia VITA Club tu wakati Vijana wa Msimbazi wanamiliki.Jaman asiyekuwepo uwanjan anakosa burudan hawa vita ni noma wanatisha kama njaa
Tatizo lililopo Simba ni kiungo mtani.....Hakuna mtu sahihi wa kushirikiana na Mwinyi Kazimoto pale kati,ni bora kocha angekuwa anamuanzisha hata Boban........Hawa Mbiyavanga na Amri Kiemba hawapo vizuri kiasi cha kufanya kiungo cha Simba kinapwaya........Na hapo ndipo ninaliona pengo la Mafisango........Kigi Makasi ni mzuri ila kwa sasa ana tatizo moja......Kupooza mpira,hana kasi kama ile aliyokuwa nayo enzi zile akiwa Mtibwa SugarMkuu Balatanda, pengo ni Emmanuel Okwi lakini la Patrick Mutesa Mafisango kwa maana ya namba sita Musa Mude na Jonas Mkude wanaziba vizuri sana, labda kama ni uwezo wa Mafisango kwamba alikuwa anaweza kucheza namba nyingi lakini mtu wa hivyo tunaye Shomari Kapombe na Kigi Makasi.
msizubae sasa simba
naona habari ya dompo imekufa nini..