Mkuu hakuna haja ya usajili, vijana waliopo ni wazuri sana tatizo ni upangaji wa kikosi pamoja na kuacha vijana wengine kwa sababu haya mashindano ni wachezaji ishirini tu ndo walikuwa wanatakiwa.
Pengo la okwi na yondari dhahiri
Maneno machafu si jadi yangu, asante kwa yote, bahati nzuri sina mke hivyo sina haja ya kuwa na hasira na wewe kwa kauli hiyo, ninachofanya ni kukupuuza tu Mkuu.
Pengo la okwi na yondari dhahiri
Simba wananichefua,kwa hali hii sijui kama tutachukua kombe.
Bora kucheza na Azam kuliko Atletico.
Mkuu utakubaliana nami kwamba upangaji wa kikosi ni tatizo pale kocha atakapobadili kikosi, sisi tunacheza bila typical winga hata mmoja kidogo leo Kigi kaingia naye kwa sababu ameingia baada ya mtu kuumia anaweza asiwe na confidence ya kutosha kuhimili mikiki ya Wakongo.haohao ishirini ndo walionekana BEST sasa kama wanatuangusha na hao waliosalia sizani kama wanaweza kuwa msaada mkubwa kwetu zaidi ya hawa tuliowatanguliza mkuu.
Bora kucheza na Azam kuliko Atletico.
Du simba kazidiwa jamaa ni wazur
Wewe nawe ulikuwa umeishiwa bundle maana long time no see you.Kombe?kombe gani?Kwani yanga wanajitoa mkuu?