CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Watani hongereni zenu, naona mmewakwepa URA, kuna hatari ya kukutana na Azam, Mafunzo au Tusker; Ombeni msikutane na Azam itakuwa ndo safari yenu imeishia hapo.
 
Watani hongereni zenu, naona mmewakwepa URA, kuna hatari ya kukutana na Azam, Mafunzo au Tusker; Ombeni msikutane na Azam itakuwa ndo safari yenu imeishia hapo.
Mpira hauchezwi mdomoni mtani....

Mpira unachezwa uwanjani.........Dakika 90

Mbona wengi mlitegemea Yanga itafungwa mengi na APR leo.....

Safi sana Berko

Anatoka Niyonzima anaingia Rashid Gumbo
 
Hrhrhehehehehe..mi nachekelea....YANGA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Full Time

Yanga 2-0 APR

Hongerni sana wana Yanga wenzangu
 
Nyie WANABE tu. Toto dogo kabisa.
Siku akichacha Bakhresa (au kufa... ashakumu si matusi), Azam itakuwa ndio kwishnei. Kwisha habari yake!

dua la mwombea mabaya huwa halimfikii mlengwa.. pole sana ndio tunakuja kuwashika..
 
Watani hongereni zenu, naona mmewakwepa URA, kuna hatari ya kukutana na Azam, Mafunzo au Tusker; Ombeni msikutane na Azam itakuwa ndo safari yenu imeishia hapo.

Yanga Afrika always wins where/when it matters.
Azam bado toto dogo kwenye anga hizi za kimataifa. Mashindano ya mbuzi/kuku/nguruwe ndo saizi yake huyu
 
Galasa moja tu limetokea Mtibwa, ngoja liwape moyo tu sa hivi ligi ikichanganya ndo watajua hamna kitu.
Hivi Said Buhanunzi ambaye anaongoza kwa ufungaji sasa na Felix Sunzu mnayemlipa karibu milioni 4 kwa mwezi nani bora?....
 
Back
Top Bottom