Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Full Time
Yanga 2-0 APR
Hongerni sana wana Yanga wenzangu
Nimekusoma Bala, Hongera sana kwa ushindi mnono.
Bila shaka mnachukua tena ubingwa wa Kagame cup mwaka huu.
Full Time
Yanga 2-0 APR
Hongerni sana wana Yanga wenzangu
Kesho ni mabingwa wa Kombe la Kuku Zanzibar na wataalamu wa AS VITA Club ya DRCYeps...kama alivyokuwa Kaseja kwenye mechi ya Azam kwenye lile kombe la kuku!!
Nzuri sana mkuu wangu....Mkuu Balantanda habari za siku mingi.
Final score board inasomekaje?
dua la mwombea mabaya huwa halimfikii mlengwa.. pole sana ndio tunakuja kuwashika..
Hivi Said Buhanunzi ambaye anaongoza kwa ufungaji sasa na Felix Sunzu mnayemlipa karibu milioni 4 kwa mwezi nani bora?....
Au Mwape!Isije ikawa kama Shiboli.
Kwangu mimi MOTM wa leo ni Yaw BERKO
Full Time
Yanga 2-0 APR
Hongerni sana wana Yanga wenzangu
Ukiona hivyo ujue simba ni Taifa kubwaAngekuwa Simba ndiye kamshinda APR leo, server ya JF ingeweza ku-collapse kwa kuzidiwa na post zao leo!!
Ukiona hivyo ujue simba ni Taifa kubwa
Galasa moja tu limetokea Mtibwa, ngoja liwape moyo tu sa hivi ligi ikichanganya ndo watajua hamna kitu.
wewe Tisha -Toto yaonekana ni mwepesi wakusahau.subiri siku mkikatiza mbele ya mnyama awararue 5X6/5No. Vuvuzela kubwa is more befitting!
Hivi kesho Azam na Tusker wakisuluhu (0-0) washindi wa kundi hili wataamuliwa vipi?