Yanga mkiruhusu hizi mara kwa mara zinaweza kuwa-cost
BERKO ni kipa mzuri sana.......Kaumia tena..
Beki na kiungo cha Yanga wanakatika sana kiasi cha kumtesa kipa Yaw BERKO....
Anaendelea...nahisi atatolewa..
Yupo BarthezYanga wanashambuliwa....
Safi sana Yaw BERKO...
BERKO anaumia....