PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 445
Yanga 2-0 APR
Hongereni
Yanga 2-0 APR
Du, hii over CCM wanavyoilaumu Chadema kwa kila janga!!Hizi hela za EPA naona zimeingia mpaka kwenye jeshi la Rwanda, huyu beki inabidi apelekwe kwa rais Kagame akajieleze.
Du, hii over CCM wanavyoilaumu Chadema kwa kila janga!!
Anasema wenzake wanamroga!Nurdin Bakari majeruhi?
Anasema wenzake wanamroga!
Ni majeruhi wa muda mrefu...Nurdin Bakari majeruhi?
Duh!Alafu huyu bahanuz mmemtoa wapi yanga?
duu naona mmejitoa enhee..
Azam = WANABE!
leo jezi ya njano ina bahati. Nadhani yanga watashinda