CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Sipendi upendeleo wa CECAFA kwa simba na yanga. 1. wao hawechezi saa nanane mchana 2. Kundi la yanga na simba kila moja lina kibonde walau mmoja wa kugawa points. 3. Makundi ya simba na yanga kila moja litatoa timu tatu wakati la azam timu mbili tu.Simba na yanga zinapata muda zaidi wa kupumzika. Yote haya ili CECAFA ipate viingilio.Je kuna soka kukua au ni kusaka pesa tu?.Ndo maana tusishangae timu zetu zinavurunda zinapotia pua katika mashindano ya ukwele kuliko haya maigizo ya mpira ya CECAFA

Koote nakubaliana na wewe isipokuwa hapo kwenye red,unajua toka team ya Ndetichia icheze na Mafunzo haijateremka tena dimbani ndo inatarajia kuteremka mchana huu dhidi ya Tusker ya Kenya,sasa kwa mpango huu nani amepewa siku nyingi za kupumzika kati ya Simba na Yanga kwa upande mmmoja na Azam upande mwingine?
Pamoja na hayo haya mashindano yana gharama zake katika kuyaendesha na ndo maana TFF ikishirikiana na CECAFA huwa wanakuja na mbinu tofautitofauti katika kuhakikisha angalau wanapata something itakayosaidia gharama za kuendesha haya mashindano,ikumbukwe Rais Kagame yeye hutoa zawadi kwa Mshindi tu
 
Asante sana Mtibwa kwa kutupa Juma Abdul na Said Bahanuzi,for sure Shomari Kapombe atafute namba nyingine Stars hiki kifaa Juma Abdul ni noumarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

Maskin Nsajigwa
 
watangazaji wetu wengi wanatokana na vyuo bubu mfano sijui MAMET, DSJ, TIMES etc na wanafundishwa kuanzia miezi mitatu au sita, na entry qualifications zenyewe aibu, halafu unawataraji waweze kutangaza mpira ipasavyo kwa ung'eng'e?
lakini pia kumbuka supersport kwa east africa base yao ipo kenya na wana watangazaji wao wanaotangaza ligi ya kenya huko, na vilevile wamekuja na magari na vifaa vya utangazaji toka kenya, then definetely hata watangazaji watatoka huko

Well clarified.
 
Asante sana Mtibwa kwa kutupa Juma Abdul na Said Bahanuzi,for sure Shomari Kapombe atafute namba nyingine Stars hiki kifaa Juma Abdul ni noumarrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

yule bwanamdogo hatafuti namba bali makocha ndo wanakazi ya kutafuta wapi acheze
 
Wekeni majina mgongoni kwenyejezi,maisha yanakuwa rahisi kwetu.
 
Wekeni majina mgongoni kwenyejezi,maisha yanakuwa rahisi kwetu.
Wewe nawe umeng'ang'ania majina kwenye jezi ya nini, cha muhimu namba, sisi hatuna wino wa kuandika majina mengine marefu kama Bahanuzi, Mbiyavanga, Shikokoti, Balatanda, Ulimakafu. Kwa hiyo tuvumilieni tu na namba hivyo hivyo.
 



QUARTER FINALS
Mon. 23[SUP]rd[/SUP] July 16 B2 vs C2
17 A1 vs C3


Tue. 24[SUP]th[/SUP] July 18 C1 vs A2
19 B1 vs A3


Wed. 25[SUP]th[/SUP] July REST DAY

SEMI FINALS
Thu. 26[SUP]th[/SUP] July 20 Winner 16 vs Winner 17

Thu. 26[SUP]th[/SUP] July 21 Winner 18 vs Winner 19


Fri. 27[SUP]th[/SUP] July REST DAY

FINALS AND 3[SUP]rd[/SUP] PLACE PLAY OFFS
Sat. 28[SUP]th[/SUP] July 22 Loser 20 vs Loser 21
23 Winner 20 vs Winner 21

Kaka, nomenclature uliyoitumia hapo juu kwenye quarter final matches sijailewa.
Kwa mfano leo nimeona gazeti moja linadai machampioni Yanga Afrika wataweza kukutana na Simba kutegemeana na matokeo ya leo. Jingine linasema Yanga Afrika watakutana na yoyote kati ya Mafunzo, Azam au Tusker!

Sasa which is which wajameni???
 
red card kwa Tusker na Azam wanapata penati
 
Hivi kipa akidaka mpira nje ya 18 ni red card au njano?
 
goalkeeper wa Tusker ametolewa kwa red card
 
Back
Top Bottom