Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 814
Yanga Afrika
ushindi wa azam unaipeleka robo..
ushindi wa azam unaipeleka robo..
leo jezi ya njano ina bahati. Nadhani yanga watashinda
inawezekana. ila inategemea ni timu gani ina cheza na timu gani.
Ndo mechi kati ya APR na Yanga imeanza.
haya goli 1 kwa Yanga
Bahanuzi kadumbukiza