Magoli kama haya tulizoea kuyaona ulaya tu.
Vipi wenye timu yenu mbona hamji au mnasubiri mfunge goli ndo mmiminike?
mkuu, baada ya Yanga kupata goli swali lako litapata jibu.
Mkuu nimeona, na wengine naona wanasubiri dakika 90 uone maneno yao kama watashinda.
Nasikia Ndala wanaongoza.
hahahaaaaaaaaaa
Nasikia Ndala wanaongoza.
Kipindi cha pili kinaanza
Yanga 1-0 APR
Kipindi cha pili kinaanza
Yanga 1-0 APR