CDM wamesusia sherehe za uhuru

Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!

Nimeipenda hii!
 
Uhuru maana yake ni nchi kuongozwa kulingana na matakwa ya wananchi. Kinyume na hapo, hakuna uhuru. Inawezekana cdm wameliona hilo na hawapendi kuwa wanafiki kwa kuhudhuria sherehe wakati mioyoni mwao kuna manung'uniko ya tume huru ya uchaguz, katiba mpya, n.k.
 
wa tz wameruka mkojo waka kanyaga mavi, hakuna uhuru ni unafiki mtupu, uhuru ni wa ccm kupokea nchi kutoka kwa wokoloni na sio wa tz
 
Uliwaona wale wazee TBC1 asubuhi daaah! kuna wakati mimi huwa najiuliza hivi watu walio ipigiga kura CCM wako wapi mbona kila ninapokuta kikundi cha watu wakijadiliana juu ya uchanguzi au mwenendo wa Serikali ya CCM wana ilaani tu...

Hivi umegundua hivyo!!!!!? mimi nimekuwa nikijiuliza sana hili swali mpaka naanza kuhisi labda mimi ndiye mwenye matatizo nahisi labda nina alergie na makundi yenye watu wa CCM
 
JK mwenyewe imemchanganya akashindwa hata kusema chochote, kakagua paredi na kutokomea bila kusema kitu. CDM waende kufanya nini? Maana watanzania wote wamechanganyikiwa kama washerehekee sikukuu ya uhuru wa nchi gani. Tanganyika tunaambiwa haipo, Mtikila mwaka mmoja alienda na bendera yake ya Tanganyika kuashiria uhuru wa Tanganyika, polisi walimkamata na kumzuia mpaka sherehe zilipoisha.
 
Nafurahi kuona Watanzania wamegundua kuwa hawakupata Uhuru ndio maana hadi leo bado tunaburuzwa!
 
KUSUSIA SHEREHE ZA UHURU NI UTOTO......... karibia kila tendo wanalofanya linazidi punguza imani ya wananchi(HASA MIMI) NADIRIKI KUSEMA MSHAURI WA CHADEMA ANAWAPOTEZA
 
Ndo mana mi ckwenda nkala bata zangu basi.enzi za ben nlkua naenda
 
Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!

Nikiongeza nitaharibu!
 
KUSUSIA SHEREHE ZA UHURU NI UTOTO......... karibia kila tendo wanalofanya linazidi punguza imani ya wananchi(HASA MIMI) NADIRIKI KUSEMA MSHAURI WA CHADEMA ANAWAPOTEZA
Usidangaye watu. Hujawahi kuwa na imani au kuwa mpenzi wa CHADEMA. Tena nilishakushauri ubadilishe avatar yako. Haiendani kabisa na hero wangu.
 
binafsi nimetazama itv na tbc1 nichoona ni viongozi wa ccm na uongozi wa juu wa cuf akiwemo maalim seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa cdm yaani mbowe, arfi, slaa, lissu, zitto wala mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?

msamba nini kwani lazima??????
 
Hamjui musherehekee uhuru wa nchi gani? Kamuulizeni muungu wenu nyerere maana ndie alieiua tanganyika kwa kupenda kwake madaraka. Ukiniuliza mie nitakwambia sherehekea uhuru wa nchi ya tanzania bara. Pumbav
 
Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!
You nailed it!!
 
Hatujapata uhuru bado kwani tuliwaondoa wakoloni weupe wakajiingiza wakolozi weusi.
Mapambano ya uhuru ndio yameshika kasi. Siku ya leo imepotea bila kazi kwa kanchi maskini kama haka ka kwetu! Watu wanasheherekea uhuru hewa. hahahahahahahaha ujinga mzigo!
 
Hamjui musherehekee uhuru wa nchi gani? Kamuulizeni muungu wenu nyerere maana ndie alieiua tanganyika kwa kupenda kwake madaraka. Ukiniuliza mie nitakwambia sherehekea uhuru wa nchi ya tanzania bara. Pumbav
Ukiwa na hasira usiandike mpaka zipungue! Wakati mwingine utaandika leseni ya wewe kupata :ban:
 
Katiba ya nchi inasemaje kuhusu tanganyika?.......Sherehe Tanganyika Bendera Tanzania ....idiot
 
Back
Top Bottom