CDM wamesusia sherehe za uhuru

Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?

Kwani APPT MAENDELEO, TLP, NCCR MAGEUZI, UDP, nk walikuwepo? Mbona siku hizi CDM inawanyima usingizi kiasi hicho? Maana hata Dkt Slaa asipoongea mnaanza kulalamika, ooh, mbona Dkt Slaa haongei siku hizi!
 
kama gazeti la uhuru limeandika kuhusu maadhimisho hayo basi inatosha haya magazeti mengine yaandike yasiandike haisaidii chochote kwani ni baadhi ya magazeti yanamilikiwa na mabepari na mafisadi
Gazeti la Uhuru linamilikiwa na ccm ambayo inamilikiwa na mafisadi wakubwa.
 
Uhuru gani tena!?

Kama walee wazee wetu walioonja maisha kabla ya 1961 na haya ya sasa wanasema bora mkoloni kuna haja gani ya kusema tusherekee uhuru?
 
kama gazeti la uhuru limeandika kuhusu maadhimisho hayo basi inatosha haya magazeti mengine yaandike yasiandike haisaidii chochote kwani ni baadhi ya magazeti yanamilikiwa na mabepari na mafisadi

Gazeti la uhuru linaandikwa na mambumbu wanaoshabikia wasichokijua, ufisadi moja, umasikini mbili, ujinga tatu, endelea mwenyewe
 
Kwani APPT MAENDELEO, TLP, NCCR MAGEUZI, UDP, nk walikuwepo? Mbona siku hizi CDM inawanyima usingizi kiasi hicho? Maana hata Dkt Slaa asipoongea mnaanza kulalamika, ooh, mbona Dkt Slaa haongei siku hizi!

MKuu bora umenisaidia kuuliza hilo swali manake kila wanachoongea siku hizi ni chadema chadema.. slaa!!!
 
Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?

25180_387285377185_164557967185_4542891_3762652_n.jpg
attachment.php

some opportunist politics!
 
Kwa hiyo subirini 2015, kwani kwa sasa JMK ndie anaetakiwa na wengi.

Wewe ndio unamtaka, sema wengine ni akina nani, zaidi ya wachache waliorubuniwa kama wewe; wewe mtumwa wa JMK na wa mafisadi, unatumiwa wala huoni, unanunuliwa kwa vijisenti unafikiri umefika, jamani fungueni macho, it is not about Chama here, but it is about maslahi ya walio wengi na it is about living a good life in our rich country, na sio wachache kula mali ya walio wengi; hiyo tunakataa na tutakataa till we are indeed free
 
kwani uhuru kwa mtanzania wa sasa maana yake nini.........kama mafisadi wanasamehewa na rais aliyeapa kupambana na rushwa basi hamna uhuru na hakuna sababu ya kudsherekea......iwapo viongozi wanaapishwa kwa kuchakachua kura basi siendi kwenye sherehe za uhuru...km akina mama wanakufa kwa kukosa msaada mahospitalini huku serikali ya kikwete ikikazana kujinunulia magari nya bei mbaya na nasa basi hamna uhuru na nakuwa sina sifa za kusherehekea.........cuf ni ccm-b kwa hiyo kwao kuhudhuria ni kutekeleza ule mwafaka wa kuishambulia chadema............
hata mimi sikuenda na wala siwezi kuenda na sijutii kwenda
 
Uhuru gani tena!?

Kama walee wazee wetu walioonja maisha kabla ya 1961 na haya ya sasa wanasema bora mkoloni kuna haja gani ya kusema tusherekee uhuru?
Uliwaona wale wazee TBC1 asubuhi daaah! kuna wakati mimi huwa najiuliza hivi watu walio ipigiga kura CCM wako wapi mbona kila ninapokuta kikundi cha watu wakijadiliana juu ya uchanguzi au mwenendo wa Serikali ya CCM wana ilaani tu...
 
Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?

Hata wao wameangalia kupitia ITV na TBC1 kama wewe.
 
Uhuru gani tena!?

Kama walee wazee wetu walioonja maisha kabla ya 1961 na haya ya sasa wanasema bora mkoloni kuna haja gani ya kusema tusherekee uhuru?

Uhuru wa bendera,hata leo ni bendera ndiyo ulikuwa ujumbe kila kona hata alaiki ya watoto,bora mkoloni wajameni.
 
Mtikila aliwahi kwenda na bendera ta Tanganyika wakampa makasheshe kibao. Sasa uhuru wa Tanganyika ipi ambayo hata bendera haina? Mbona Zanzibar wana bendera?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom