CDM wamesusia sherehe za uhuru

CDM wamesusia sherehe za uhuru

Sasa watu waliochanganyikiwa unafikiri watakuja uwanjani ????? kushindwa kubaya sana !!!

Hawajashindwa walidhulumiwa.......... Unajua ni kwa nini hawa makamanda walisusia hotuba ya rais? na mengine mengi kama Dr. wa ukweli (sio wa kutunukiwa) Slaa kutokuhudhuria kuapishwa kwa rais?

Hapo ulipo kusanya watu kumi halafu waulize honestly walimpigia nani kura ya urais halafu utajua ni kwa nini nasema HAWAKUSHUNDWA!!!!
 
KUSUSIA SHEREHE ZA UHURU NI UTOTO......... karibia kila tendo wanalofanya linazidi punguza imani ya wananchi(HASA MIMI) NADIRIKI KUSEMA MSHAURI WA CHADEMA ANAWAPOTEZA

Wewe SIO MTANZANIA, RUDI KWENU SOMALIA!
 
Back
Top Bottom