CCM yawaruka Mussa Mkangaa na wenzake

CCM yawaruka Mussa Mkangaa na wenzake

Wengine ni Agness Moleli na Happy Kivuyo. Kwajins ninavyo wajua ni watu watabaka la chini sana hawana hela ya kulipa. Nadhani wataanika yote kuwa ninani aliwashurutisha

ni EL. Hivi kwani zile mil 100 walizopewa wagawane wameshazimaliza?

 
Ni kweli kwako ni tafsiri ya kitoto kwa vile unatafsiri kitoto.

Akuweka gerezani!!!. Yeye ni nani akuweke gerezani. Mahakama pekee ndiyo itakuweka gerezani. Take it or leave it

Haaa haaa, Mkuu mbona na nyie mnabishana kitoto? Kama ni hivyo hata mahakama haina uwezo (na of course si kazi yake) wa kuweka mtu ndani bali ni askari Polisi/Magereza! Umeridhika hapo?
 
Mama ntilie atatoa wapi mil400?tusubiri muvi mpya,siri zote zitafichuliwa

Mamvi atalipa tu.....hela zake zinakaa kwenye matanki ya maji.
Tena atalipa cash.....atazipeleka pale ofisi ya CHADEMA kwa lory.
 
Kutumiwa kubaya,öna wameishia kuvuna aibu ya kufungia mwaka.!
 
Mii naona hapa CHADEMA ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?


Kwani hakuna sheria ya kukamata mali wanazomiliki, zikapigwa mnada kulipia madeni? Zamani hata wao wangeuzwa kulipia deni lao! Natamani hii ingerudi!
 
Kutumiwa kubaya,öna wameishia kuvuna aibu ya kufungia mwaka.!
unajua katika hii regime kuna watu on top wanamalengo yao na wanaweza kumtumia mtu yeyote na kuishia kuwa victims. Chukulia mfano:
1. EL - baada ya kula dili la Richmond wenziwe wakamtosa na sasa anachanganyikiwa juu ya 'kustaafu' au 'kujiuzuru'.
2. Nape - issue ya kuvua gamba ndiyo itaamua mustakabali wake na sio siku nyingi wote tutashuhudia
3. Jaji Lwakibalila - huwezi kujua alihaidiwa nini lakini bila shaka sasa anajutia maamuzi yake na waliomuelekeza wako wanatafakari 'next move'
wapo wengi na wote tunajua ila hawa wanachama waliomfungulia kesi Lema inabidi sheria ichukue mkondo wake ili huko mbeleni wengine waache kupoteza muda na pesa za walipa kodi.
Katika sisiemu bila Unafiki na Usaliti hakuna chama pale! Kikubwa ni kuwa bila kesi ya Lema kufunguliwa na kutolewa hukumu tata, common Tanzanians wengi wasingeliweza kutambua jinsi huu mhimili unavyochezewa na 'wenye akili ndogo' wachache


 
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.

LENGIO,

Kama kweli sisiem wamesema hivyo (maana sijajua nani kasema-source), this will be a technical move away and an escape to reimburse the case costs but with great setbacks for the party and its members. Hali hii itadhihirisha sisiem kilivyo 'chama cha majambazi'. Kama walijua watu hawa hawawakilishi chama 'chao' kwa nini hawakusitisha harakati zao za kufungua na kuendesha kesi hiyo? Nani alikuwa akilipa gharama za mawakili? Kama chama walifanya nini kutoa ushauiri kwa wanachama waliofungua kesi hii? Nani wlikuwa nyuma ya wanachama hawa ktk harakati zao za kufungua kesi hii?
 
Naomba mnisaidie. Utaratibu wa kulipa hizi gharama ukoje na zinalipwa kwa nani? Na je kuna muda maalum (time limit) wa kulipa? Na usipolipa sheria inatoa adhabu gani?
Chadema watahakikishaje kuwa hizo hela zimelipwa?
 
Mii naona hapa CHADEMA ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?

Kwa jinsi nijuavyo hizo gharama zinajumlisha gharama za kesi nzima kwa ujumla k.m. gharama za mahakimu kwa kusikiliza kesi, gharama za Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kama mmojawapo wa walioshitakiwa, gharama za Chadema na mawakili wao. Mimi ninahisi Batilda na Lowasa watasaidia kulipa hizo gharama kwa kulinda heshima yao kwa uchaguzi wa 2015 pamoja na kwamba CCM inajiweka kando.
 
Mii naona hapa CHADEMA ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?

sasa chadema wamechemka vp??
Lema kashinda kesi maswala ya kulipia ghrama za kesi ni maamuzi ya mahakama.
"Tunamthamini Lema kama mtoto mchanga"
 
Mahakama imefika mahali isijihushe na ushabiki wa siasa chakavu za magamba,ona sasa inavyoaibika.
 
Back
Top Bottom