Si Katibu Mkuu Makamba (enzi hizo) aliwataka wafungue kesi dhidi ya CDM na chama kitawalipia? Kweli ccm si watu...wamewaingiza kingi kisha wanawaruka!
Mii naona hapa CHADEMA ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?
Leo mwanasheria wa CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO MH. tundu lisu wakati akiongea Kuhusu hukumu ya Lema kwenye kituo cha EATV amesema kuwa Viongozi wa CCM wamekuwa wakiwatuma wanaowaita wapiga kura kufungua kesi dhidi ya wabunge wa CHADEMA, Hivyo basi wanatakiwa kulipa gharama zote walizotumia kwenye kesi, Vinginevyo watafungwa
hizi chips tutilie sorce zote please! chili, tomato na viambata
Zinaweza kuzidi milion 500
Makamba Snr atawalipia maana walifungua kwa maelekezo yake nadhani walitarajia kulipwa ukuu wa wilaya si unajua vyeo vya fadhila kwa magamba ni UDC na ukijipendekeza sana unatoka na kitu cha RC si haba mwanangu nawe unapewa Shangingi mambo saaaaafi kama hujui muulize N.AApe:cheer2:Wengine ni Agness Moleli na Happy Kivuyo. Kwajins ninavyo wajua ni watu watabaka la chini sana hawana hela ya kulipa. Nadhani wataanika yote kuwa ninani aliwashurutisha
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
Mods bana kwenye hizi habari hawaitaji source tukitupia nondo zetu tunaombwa source.