Hakuna Mwenye uwezo wa kulipa hasara waliyoipata wana-waarusha; Vifo vya raia wasiokuwa na hatia, biashara za akina mama kusimamishwa pasipo sababu za msingi, vijana wamefungwa bila ya haki, Mbunge wao ameshindwa kuwatumikia kwa kipindi kirefu, mikutano ilisitishwa kupelekwa A-town...CCM mnalo! Mmetengeneza uadui plus uhasama mkubwa sana Arusha! ...Wahusika waliomua bw Mbwambo kwa kumchinja kama kuku lazima wafikishwe kwenye vyombo vya kisheria, police walio ua raia kwa niaba ya CCM wachukuliwe hatua, otherwise mjiandae kuhama Arusha...