Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Zinaweza kuzidi milion 500
Kwa vile ilifika hadi Mahakama ya rufaa ni zaidi ya hizo ulizotaja hapo juu mkuu!
Gharama zinazotakiwa kulipwa ni zile za Lema kuwalipa mawakili na mashahidi wake,gharama za malazi na chakula kwa mashahidi wa Lema na jopo lake la utetezi;gharama za usafiri wa Lema na mashahidi zake na gharama mpya alizozipata kwenye usikilizwaji wa kesi hii Mahakama Kuu Arusha na baadae gharama mpya kwenye usikilizwaji wa kesi hii kwenye mahakama ya rufaa kule Arusha ikiwemo kumuingiza wakili mpya Lissu na baadae gharama ya kesi hii ilipohamia Dar(Kwa vile hati ya kiapo cha Lema inaonyesha yy makazi yake ni Arusha basi Lema na wenzake watafidiwa kwa usafiri na malazi walipokuja Dar kusikiliza rufaa yake)!
Na gharama zingine zitakazo onekana directly and indirectly zimetumika kwenye kesi hii!