MSHAHARA WA DHAMBI MAUTI. NAPE atawalipia!!! Au wamfuate Yusuph Makamba!! MENE MENE TEKELI NA PERESI!! miti yote inateleza sasa nyani kama ubwete!! tunamnasa!!Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
kha we ni haja kubwa kweli! usipoiponda cdm unapungukiwa nini harufu!Mii naona hapa Chadema ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?
Hilo hata mimi nalitarajia sana. Mwananchi wa kawaida hawezi kuthubutu kuacha kazi yake inayomweka mjini, aka deal na kesi ya siasa. Hili haliingii akilini. Mhusika halisi watamtaja tuNadhani wataanika yote kuwa ninani aliwashurutisha
Siku zote unapotumwa ukirudi na mafanikio ndio unathaminiwa sasa wao wameshindwa nani anawathamini.Swali la kujiuliza je wangekuwa wameshinda kesi ccm wasingewapongeza?
Kuna thread wameitoa star Tv kwenye page yao ya FB kuwa gharama zote tangu mwanzo wa kesi ni Bilioni mianne.
Kuna thread wameitoa star Tv kwenye page yao ya FB kuwa gharama zote tangu mwanzo wa kesi ni Bilioni mianne.
hahahaha..yani hii itawaogopesha watu kufungua kesi zisizokuwa na miguu wala kichwa
Kuna thread wameitoa star Tv kwenye page yao ya FB kuwa gharama zote tangu mwanzo wa kesi ni Bilioni mianne.
Si Katibu Mkuu Makamba (enzi hizo) aliwataka wafungue kesi dhidi ya CDM na chama kitawalipia? Kweli ccm si watu...wamewaingiza kingi kisha wanawaruka!
Mii naona hapa Chadema ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?
almaarufu kama kesi za luteni Yusuph Makamba,sasa keshatoka makamba,kaingia Mukama na sasa ni yule msomali.
Zinaweza kuzidi milion 500