CCM ni matapeli na majingili, hasa toka Mwl. Nyerere alipoondoka. CCM ndilo genge kubwa la kimafia kusini mwa Afrika.[/QUOTEPHP:]
Mkuu hapo umeniacha hoi, ila nakubaliana nawe kimoyomoyo, hahaaaaaaa.
CCM ni matapeli na majingili, hasa toka Mwl. Nyerere alipoondoka. CCM ndilo genge kubwa la kimafia kusini mwa Afrika.[/QUOTEPHP:]
Mkuu hapo umeniacha hoi, ila nakubaliana nawe kimoyomoyo, hahaaaaaaa.
Siku Moja Shetani alimtembelea Mungu. Mungu akamwambia mbona Unaniharibia watu wangu kwa nguvu na kasi kubwa hivyo. Shetani akamjibu ."Mtukufu uharibifu wote huo unaouona mwingine sio mimi ninayefanya fanya. Hao binadamu wengine wamepituka. hayo hayo mengine ni yao wanayofanya ni yao. Natuma mtu amdhulumu mtu mmoja mmoja. lakini kwa haya ya kudhulumu halaiki ni yao wenyewe wamebuni".Mwisho wa kunukuu. Hao watu type ya Mkangaa walipe hakuna msamaha wamewadhulumu watu wa Arusha kwa miezi tisa sasa. tutafidiaje hiyo huduma tuliyokosa wana arusha? kwa msamaha ? hapana walipe ili wakome. tena mi nashauri baada ya kumaliza shamrashamra lema akakazie hukumu fasta.
Kinapindua nini?
hata mbunge wa bumbuli alimtumia ujumbe lema aliposhindwa eti kesi ilikuwa lazima lema ashindwe, kweli ccm ina viazi...<font color="blue"><b>Hivi wanasheria wote waliojazana huko CCM na maprofesa kibao hawakung'amua hii kitu inaitwa "locus standi" ingewatoa knockout? The ruling was so simple: wale waliofungua kesi (wanajiita wapiga kura) hawakuwa na haki ya kufanya hivyo kwani shauri lililoletwa mahakamani halikuathiri haki zao kama wapiga kura!<br />
<br />
Eti Batilda alitukanwa; rubbish! So what? Alipaswa alalamike Batilda mwenyewe na sio hao vitimbakwira. Na iwe mwisho kwa CCM kutumia "mawakala" kufungua kesi za uchaguzi.</b></font>
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.

Mii naona hapa CHADEMA ndo wamechemsha, sasa akishindwa kulipa watamfanyaje? hata akifungwa watakuwa wamefaidika vipi?
Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
Kudadadeki! Unaposema utakufa na ccm kwa kuwa ati wewe ni ccm damu, sasa unaweza kujua kwamba unatakiwa kuwa msanii sana kama ccm wenyewe, maana kama ccm iliwapongeza waliomdondosha Lema kwa kuwa makada wenye uchungu na chama chao, sasa vipi tena ccm hiyohiyo inasema haikuwa na mashaka na ushindi wa Lema? CCM wasanii sana bana, ukiifanyia kazi ccm kifokikikujia kazini unakufa peke yako na ukoo wako, ccm yenyewe inakusaidia sanasana kuchimba kaburi la kukuzikia.Chama cha mapinduzi CCM kimesema kama chama wao hawawezi kulipa gharama ya kupinga kesi ya ubunge wa Lema kwa kuwa wao hawakuwa na mashaka na ubunge wa Lema. Kwa hiyo gharama hizo zilipwe na waliokuwa na mashaka na ubunge wa Lema.
Leo mwanasheria wa CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO MH. tundu lisu wakati akiongea Kuhusu hukumu ya Lema kwenye kituo cha EATV amesema kuwa Viongozi wa CCM wamekuwa wakiwatuma wanaowaita wapiga kura kufungua kesi dhidi ya wabunge wa CHADEMA, Hivyo basi wanatakiwa kulipa gharama zote walizotumia kwenye kesi, Vinginevyo watafungwa
Ukiona kobe yupo juu mtini jua kabebwa,kwa hiyo kushuka inabidi aangukie mgongo,au abakie huko huko afe na njaa na au mwisho hao waliompeleka juu mtini ndio watakao mshusha chini.