CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

Atakuwa ameiacha CCM kwenye mikono sahihi na kusema nilipewa ikiwa nzima na mkapa namuachia mtu sahihi wtanzania kwa ujumla wao hata aisyejua kusoma akiskia Rais ni fulani anajua Ncho iko mikono salama.

Kweli kabisa mkuu, tumuombe Mungu ampe hekima wakati wa kufanya maamuzi
 
  • Thanks
Reactions: DSN
JK hamwogopi Edo bali anafanya mema kwa ajiri ya watanzania walio wengi ...Yaaani rais amwogope ghost?

Yaani wewe ni hovyo kabisa...hivi JK toka lini anawaonea huruma watanzania? Ghost babako
 
Slaa anaweza kuingia ikulu kama ccm itapitisha haya membe,lowasa,ramadhani,mwandosya.

Mimi ni chadem lakini Slaa sio presidential material kabisa mara mia asimamishwe makaidi au Dovutwa
 
Jirani na mzee wetu wa awamu nne tengeneza historia na kudumisha heshima yako kwa maamuzi sahihi na yatakayoikomboa Tanzania mikononi mwa wanyanganyi. Amen
 
JK hamwogopi Edo bali anafanya mema kwa ajiri ya watanzania walio wengi ...Yaaani rais amwogope ghost?

Hakuna jema zaidi ya atakubukwa nalo labda kuchekacheka na lile fundo la tabasamu!
 
Hivi hayo majinga aliyoyakodi yanakaa wapi si hiyo hotel iwake moto usiku tu .

Yaani kuna mijitu ikishapewa tu pesa inajitoa ufahamu kabisaaaa!! iko tayari kufanya lolote ilimradi kumfurahisha fisadi wao
 
Hueleweki ndugu, upo act lakini unatetea ccm kulikoni?

Suala sio act, tatizo unaishi kiumbeaumbea. Hivi kukiwa na kikao cha dharua cha ccm (kiwe cha kumkata au si cha kumkata Lowassa ) wewe inakuhusu nini. Hivi hakuna jambo zuri la kutuhabalisha toka CHADEMA?
 
Kamati kuu ya ccm baada ya sintofahamu ya siku mbili, imebadili ghafla eneo la kufanyia mkutano wao kutoka Dodoma na kwenda Ikulu Dar,

Hali hiyo inafuatia taarifa za intelijensia kuwa Lowasa na Timu yake tayari wameweka kambi Dodoma wakijiandaa kwa maandamano na kuvamia ukumbi kama shinikizo la kuzuia jina la mlalaheri Lowasa kwa pepo ya mabwege lisikatwe.

Kwahatua hii tegemea maamuzi mazito au ya kipuuzi leo, Wajumbe wamegeuza tayari Kuja dar na kikao kitafanyika Leo usiku ikulu dar.

Timu Lowasa mnaarifiwa kuwa nendeni mkaandamanie Ikulu ya magogoni ili muone hasira ya kibanga wa ubara.

"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".

Yericko mzee wa mabandiko.
 
Jamaa yuko tayari hata ikibidi kumtoa kafara Membe, ili mradi tu Laigwanan asiwe raisi.
Kamati kuu ya CCM inayotarajiwa kukutana leo jioni jijini Dar es Salaam itatoa ujumbe mzito kwa wasaka urais wa CCM.

Rais Kikwete anayetarajiwa kuongoza kikao hicho, mbali na teuzi mbalimbali zitakazofanyika, pia Kikwete ameonyesha kukerwa na baadhi ya mwenendo ya wasaka urais wa CCM wakiwemo January Makamba, Edward Lowassa na Benard Membe ambapo anatarajiwa kutoa ujumbe mzito kwao.

Kiwete ameonyesha kustushwa na mwenendo wao wa kupiga kampeni waziwazi huku akisema kuwa "kamati kuu haitothubutu kuwapitisha wafanya mazingaombwe"
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kweli kabisa mkuu, tumuombe Mungu ampe hekima wakati wa kufanya maamuzi
Unajua nae ni binadamu unaweza kuwa na rafiki ambae ..amekuchefua inafika hatua unavumilia mpaka wengine wanakuona kama kunguru kumbe ni heshima kuwa kwa nguvu ulizo nazo zikitumika itakuwa ni panzi kukanyagwa na mguu wa tembo...Alijaribu muda mlefu kufikisha ujmbe kuwa Urais hauna ubia...leo Taifa liko hapa kwa tiketi ya CCM..nakinacho endelea wananchi wanaona.Hadhi ya Rais ni kama Baba hivyo washiriki wote wa kinyang'anyiro walipaswa wote kupewa stage moja kwa kuwa wote ni watoto wa Rais mmoja anaitwa Jakaya Kikwete.Sasa wengine kucheza faulu za wazi wazi mpaka kufikia hatua hii tena kuandaa vulugu...kuwatishia nyau watu wazima ni sura mbaya sana na inajaribu kushusha heshima ya Tasisis ya Mwneyekiti wa chama chao cha CCM.

Na hakika tamko hilo kama lipo leo basi litashape uchaguzi moja kwa moja na kuwapa wanaccm nyakati njema kuwa kumbe chama bado kina wasimamizi.
 
Kweli kabisa JK inatakiwa aonyeshe kweli yeye ni kiongozi wa taifa kichama na kiserikali pia. Aonyesha msimamo thabiti kweli kweli.

Hawa mafisadi hatari sana, yaaani hadi wanaandaa watu kwenda kufanya fujo kwenye vikao vya ccm eti kulazimisha fisadi apite!! This is completely nonsense
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom