Yap inataiwa afumbe macho aweke ushkaji pembeni afanye maamuzi kwa maslah ya taifa na si kumfurahisha mtu au kulipa fadhira
....
....mashetani yakinyongana kwa Mungu ni ushindi !!!
Atakuwa ameiacha CCM kwenye mikono sahihi na kusema nilipewa ikiwa nzima na mkapa namuachia mtu sahihi wtanzania kwa ujumla wao hata aisyejua kusoma akiskia Rais ni fulani anajua Ncho iko mikono salama.Kila la kheri JK ktk kuwatafutia watanzania kiongozi bora
Mwaka huu wanagawana mbao
lowassa ni laigwanan hakatwi mtu hapa komaaa hadi mwisho lowassa.
....
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
OVER !!
slaa ameshasahaulika huyo,juzi kaitisha mkutano kapata watu kiduchuu,dr kwisha habari yake....
lowassa for president 2015 tunaomba msituwekee mtu wa ajabu
Hapo mkuu suala sio ufisadi, suala ni "mwenye kinyongo asiingie ikulu asije kulipiza kisasi" cc Lizaboni.Anaepiganiwa akatwe na wanaopigania wamkate sioni tofauti yake naona wote ni maccm na kwa maana hiyo ni mafisadi yaliyobobea. ...sasa kumkata mtu wakati hawana tofauti je yanatumia kigezo gani magamba haya?
Binafsi nawashauri wasisumbuke hats kumjadiri Lowassa wamwache akajifie huko mbele, mtu mpuuzi hivi unapoteza mda wako wa nini kumjadiri? Pigeni chini hilo jizi kuu.
Kumbe mnapigia hesabu madini na gesi yetu heeeeee! tutawanyoa na kanuni 13 ili muelewe Tz ni kubwa kuliko nyinyiHofu yenu tunaijua...
Muhimu ni kujiandaa ila kuwapoka visima vya gas, vitalu vys Tanzanite kule Mirerani na harakato zote za kurudisha mali kwa wananchi ni lazima, mjipange tu kisaikolojia!