Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
I see!Ni vizuri kama sio mwanasiasa maana ningedhani unatumika ingawa najua watumika.
Tambua katika CCM kuna utaratibu wa kuongea na kuwasema viongozi wakuu wa chama. Sio hadharani kama ulivyotaka wewe usikie. Nikakupa mfano rahisi wa baba na mama.
Sio kila jambo utalijua kijana, ndio Maana hata ukawa walipokutana na Rais makubaliano yao waliyoyataka waliweka siri.
Hoja zako nyingine zilishatajwa tajwa humu sana...pekua na soma kurasa utazipata.
Wangekuwa wanamwona makongoro analeta mzaha, asingezuiwa habari zake katika media. Wewe binafsi usikngehangaika kumkebehi...watu wasingehangaika kutengeneza ujumbe kwa kuwatumia watoto katika ile PROJECT YA IKULU SI YA BABAKO. Ingawaje kwa mababa wa demokrasia USA, The Bush,Clinton mme na mke ni sawa.
Wezi wa nchi hii sote tunawajua na ni wenye nguvu...lakini hujahangaika kukemea lolote zaidi ya kutoa kebehi.
Poleeee
unasema katika CCM kuna utaratibu wa kusemana na sio hadharani Kama Mimi ninavyotaka, na Kwenye post ya awali umesema pa kusemea ni NEC, hiyo hotuba aliyoitoa na kushutumu wenzie ameitolea NEC?
Au ukishatangaza nia unaruhusiwa sasa kusema hadharani?,