barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Asante kwa taarifa, ila hapo mwisho umechafua uzi.
liked.
Asante kwa taarifa, ila hapo mwisho umechafua uzi.
swali la kujiuliza why are some people afraid of lowassa in top five mpaka waombee jina lake likatwe ??????
Kati ya hao 40 wenye nia ya kweli ni wawili tu wengine mmewaweka Kama magalasa ya kusema mbona flani kakatwa hajalalamika.
Lowassa ni mmoja ya walioingia gentlemen agreement na vasco da gama mwaka 1995/2005.
haa haa lowasa ndani ya ccm amewashika pabaya sana. kinachofanywa na baadhi ya wasaka urais kupitia ccm ni kampeni na sio kusaka wadhamini. lowasa kashateka NEC na mkutano mkuu wa ccm. hawana namna .
Acheni Lowasa achukue nchi. Yeye ni kipenzi cha wengi ndani na nje ya Maccm.
Kamati kuu ya ccm baada ya sintofahamu ya siku mbili, imebadili ghafla eneo la kufanyia mkutano wao kutoka Dodoma na kwenda Ikulu Dar,
Hali hiyo inafuatia taarifa za intelijensia kuwa Lowasa na Timu yake tayari wameweka kambi Dodoma wakijiandaa kwa maandamano na kuvamia ukumbi kama shinikizo la kuzuia jina la mlalaheri Lowasa kwa pepo ya mabwege lisikatwe.
Kwahatua hii tegemea maamuzi mazito au ya kipuuzi leo, Wajumbe wamegeuza tayari Kuja dar na kikao kitafanyika Leo usiku ikulu dar.
Timu Lowasa mnaarifiwa kuwa nendeni mkaandamanie Ikulu ya magogoni ili muone hasira ya kibanga wa ubara.
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100%, kumbe mgombea wa UKAWA ameishapitishwa ni Dr?!. Then kujifurahisha kwa urais wa 2015 ni ruksa kama sisi tunaojifurahisha na yule 'jamaa yangu'. Endelea kujifurahisha na kujifariji, ila Rais wa Tanzania 2015 ni mmoja tuu!, atatoka CCM, na ikitokea CCM isimsimamishe rais wa watu, then watu watamsimamisha wao na kumuingiza ikulu, ili litimie lile neno la baba yako wa hiyari, kuwa rais bora wa Tanzania atatoka CCM na upinzani wa kweli utatoka CCM!."Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100%, kumbe mgombea wa UKAWA ameishapitishwa ni Dr?!. Then kujifurahisha kwa urais wa 2015 ni ruksa kama sisi tunaojifurahisha na yule 'jamaa yangu'. Endelea kujifurahisha na kujifariji, ila Rais wa Tanzania 2015 ni mmoja tuu!, atatoka CCM, na ikitokea CCM isimsimamishe rais wa watu, then watu watamsimamisha wao na kumuingiza ikulu, ili litimie lile neno la baba yako wa hiyari, kuwa rais bora wa Tanzania atatoka CCM na upinzani wa kweli utatoka CCM!.
Pasco
Lowassa na Slaa wakiwa marais wa nchi hii unikate kidole
naunga mkono hoja kwa asilimia 100%, kumbe mgombea wa ukawa ameishapitishwa ni dr?!. Then kujifurahisha kwa urais wa 2015 ni ruksa kama sisi tunaojifurahisha na yule 'jamaa yangu'. Endelea kujifurahisha na kujifariji, ila rais wa tanzania 2015 ni mmoja tuu!, atatoka ccm, na ikitokea ccm isimsimamishe rais wa watu, then watu watamsimamisha wao na kumuingiza ikulu, ili litimie lile neno la baba yako wa hiyari, kuwa rais bora wa tanzania atatoka ccm na upinzani wa kweli utatoka ccm!.
Pasco
CCM tuko imara sana! Hizi taarifa wala sio mpya ila wajumbe wana taarifa zote bila shaka.
Utahangaika sana na CCM wakati UKAWA hawana mgombea mpaka leo.
Mandla.