ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Pole nawe umekaukiwa hoja. Kapumzike
Enzi Mwl Nyerere ukisikia cc inakaa tarajia kitu na nchi inasimama lkn cku hizi kawaida
Hichi chama kingepumzika kwanza kidogo jamani
Mzee Throw-throw!!Kufuatia kupanda kwa joto la kumsaka mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia CCM na songombingo la Zanzibar, Kamati Kuu ya CCM (CC) imeitishwa kwa dharura. Nyaraka za kikao hicho zinaonesha kuwa CC itajadili songombingo la Zanzibar na kuanza kupanga nondo za kuchambua na kuchuja watiania wa CCM. Kikao hicho cha dharura kinatazamiwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete na kitafanyika Dodoma.
Kulingana na taarifa nilizonazo,kikao kitafanyika kesho.CC inagusia pia malalamiko ya rushwa toka kwa watiania waliorejesha fomu. Yametolewa malalamiko lukuki yachomayo kama mkuki hasa juu ya wakati wa kusaka wadhamini mikoani. Ni kutoka kwa watia nia wenyewe. Wapo waliowasilisha nyaraka na shahidi nyinginezo kushuhudia rafu za baadhi ya watiania.JF will be the first to know kitakachojiri kikaoni!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Huwei kuwa na chama kinaongozwa na muislamu kikawa na achievements
kamati kuu ya ccm baada ya sintofahamu ya siku mbili, imebadili ghafla eneo la kufanyia mkutano wao kutoka dodoma na kwenda ikulu dar,
hali hiyo inafuatia taarifa za intelijensia kuwa lowasa na timu yake tayari wameweka kambi dodoma wakijiandaa kwa maandamano na kuvamia ukumbi kama shinikizo la kuzuia jina la mlalaheri lowasa kwa pepo ya mabwege lisikatwe.
Kwahatua hii tegemea maamuzi mazito au ya kipuuzi leo, wajumbe wamegeuza tayari kuja dar na kikao kitafanyika leo usiku ikulu dar.
Timu lowasa mnaarifiwa kuwa nendeni mkaandamanie ikulu ya magogoni ili muone hasira ya kibanga wa ubara.
Kama sio mchakato wa kukatana majina ni mchakato wa nini?yerricko acha kutunga nani alikwambia ni mchakato wa kukatana majina cc tulia na tafakari mkuu wangu jambo.