mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Jamaa yuko tayari hata ikibidi kumtoa kafara Membe, ili mradi tu Laigwanan asiwe raisi.
Mkuu tuweni tu wakweli jamani, Membe hawezi kufua dafu mbele ya Slaa, don't underrate the power of Ukawa

....
....mashetani yakinyongana kwa Mungu ni ushindi !!!
Mkuu tuweni tu wakweli jamani, Membe hawezi kufua dafu mbele ya Slaa, don't underrate the power of Ukawa
Utakuwaje wa kwanza wakati hadi sahv waliohama ni wengi.acha porojo .na ukihama hautatupatia hasara yeyoteIkitokea Padre,Dr Slaa kawa Rais wa Tz nitakuwa wa kwanza kuhama Tanzania.
Mandla.
Kamati kuu ya ccm baada ya sintofahamu ya siku mbili, imebadili ghafla eneo la kufanyia mkutano wao kutoka Dodoma na kwenda Ikulu Dar,
Hali hiyo inafuatia taarifa za intelijensia kuwa Lowasa na Timu yake tayari wameweka kambi Dodoma wakijiandaa kwa maandamano na kuvamia ukumbi kama shinikizo la kuzuia jina la mlalaheri Lowasa kwa pepo ya mabwege lisikatwe.
Kwahatua hii tegemea maamuzi mazito au ya kipuuzi leo, Wajumbe wamegeuza tayari Kuja dar na kikao kitafanyika Leo usiku ikulu dar.
Timu Lowasa mnaarifiwa kuwa nendeni mkaandamanie Ikulu ya magogoni ili muone hasira ya kibanga wa ubara.
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".

What goes around comes around...wakati yanafanyika miaka ile ya 90s alikuwa yeye upande wa pili leo anafanyiwa yeye tafsiri yake MUNGU anaongea nae kwa picha nyepesi kama nini ni kukumbuka tu kule nyuma kulifanyika nini...basi kwishney.manake Mwalimu Julius Kambalage Nyerere wakati anaona Mzee Mwinyi kama mwenyekiti wa CCM na Rais wa Nchi anazomewa na vijana ..Mwalimu aliuza hivi kweli huu ndio utaratibu...Wananchi huko nje wakiwaona HAWATAAMINI kama kweli nyie ndio viongozi wao...Akapigilia mkono msumali kuwa ANAUNGA mkono HOJA ya Mwenyekiti kila kitu kikawa shwari.Kweli kabisa JK inatakiwa aonyeshe kweli yeye ni kiongozi wa taifa kichama na kiserikali pia. Aonyesha msimamo thabiti kweli kweli.
Hawa mafisadi hatari sana, yaaani hadi wanaandaa watu kwenda kufanya fujo kwenye vikao vya ccm eti kulazimisha fisadi apite!! This is completely nonsense
wewe mhemea jina wacha makeke yako.Kamati kuu ya ccm baada ya sintofahamu ya siku mbili, imebadili ghafla eneo la kufanyia mkutano wao kutoka Dodoma na kwenda Ikulu Dar,
Hali hiyo inafuatia taarifa za intelijensia kuwa Lowasa na Timu yake tayari wameweka kambi Dodoma wakijiandaa kwa maandamano na kuvamia ukumbi kama shinikizo la kuzuia jina la mlalaheri Lowasa kwa pepo ya mabwege lisikatwe.
Kwahatua hii tegemea maamuzi mazito au ya kipuuzi leo, Wajumbe wamegeuza tayari Kuja dar na kikao kitafanyika Leo usiku ikulu dar.
Timu Lowasa mnaarifiwa kuwa nendeni mkaandamanie Ikulu ya magogoni ili muone hasira ya kibanga wa ubara.
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
vipi Yericko Afya ya lowassa ikoje?unipe live updates ya afya yake hadi tarehe 14 July!!
kwa hiyo mkuu bado unawasiwas na Ukawa...tunaizika ccm rasm october
Kamati kuu ya ccm baada ya sintofahamu ya siku mbili, imebadili ghafla eneo la kufanyia mkutano wao kutoka Dodoma na kwenda Ikulu Dar,
Hali hiyo inafuatia taarifa za intelijensia kuwa Lowasa na Timu yake tayari wameweka kambi Dodoma wakijiandaa kwa maandamano na kuvamia ukumbi kama shinikizo la kuzuia jina la mlalaheri Lowasa kwa pepo ya mabwege lisikatwe.
Kwahatua hii tegemea maamuzi mazito au ya kipuuzi leo, Wajumbe wamegeuza tayari Kuja dar na kikao kitafanyika Leo usiku ikulu dar.
Timu Lowasa mnaarifiwa kuwa nendeni mkaandamanie Ikulu ya magogoni ili muone hasira ya kibanga wa ubara.
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
Ni kweli, ila usiseme Membe tu, CCM haina candidate tishio.Mkuu tuweni tu wakweli jamani, Membe hawezi kufua dafu mbele ya Slaa, don't underrate the power of Ukawa
....
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
OVER !!
Yaani wewe ni hovyo kabisa...hivi JK toka lini anawaonea huruma watanzania? Ghost babako
Anaepiganiwa akatwe na wanaopigania wamkate sioni tofauti yake naona wote ni maccm na kwa maana hiyo ni mafisadi yaliyobobea. ...sasa kumkata mtu wakati hawana tofauti je yanatumia kigezo gani magamba haya?