CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

Sawa ila nakuonya acha Kuwaamini Viongozi wa CCM hapo kinachofanyika ni Kutuliza tu hali iliyoko ila chini ni Kauli ambayo hata Wao wenyewe wameipenda na watakuja tu Kuitumia Siku moja kwa Kutekeleza hayo ambayo huyo Mpumbavu Faris Buruhan amesema.
 
To be sincere action juu ya huyu mpumbavu iwe wazi kinyume ya hivo theory ya kuwa aliwasilisha msimamo wa chama chake hauepukiki.Wanaoingia kwenye siasa kwa mihemuko wakae pembeni kwanza wajifunze.
 
Chukua haya maneno yangu Mkuu huyo Mpumbavu hutomkosa katika Teuzi zijazo za Mama hasa za DED / DAS / SC Oky?
 
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile.

Lakini pia ni Uthibitisho usio na Shaka kuwa kumbe wale Watesi (Critics) wote wa Watawala wa nchi na Serikali za CCM ambao ama huwa wanapotea kwa kutekwa au hata kukutwa wameuawa (wamekufa) kwa 90% Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahusika.

Pia Soma:

-
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
CCM chama lenye nuksi ya kuongozwa na wapumbavu
 
Nchimbi kaongea kuwa jamaa kaongea mambo ya kipumbavu
 
Hivi na Wahaya siku hizi wamekuwa Wapumbavu kiasi hiki?
 
Kuna Post ya Mtu Kanitukana Mimi ni Mwendawazimu na Ukaenda ku Like sasa sijui kwanini bado tena unaendelea Kuchangia na Kusoma Threads zangu Mimi Mwendawazimu. Unafiki wako juu yangu nilianza Kuuona Siku nyingi tu na ningeshauri kwakuwa nawe Umeshakubaliana kuwa Mimi ni Mwendawazimu ila ambaye Kutwa hamuachi Kunifuatilia hapa JamiiForums ungeacha kuwa Kunifutilia na uendelee Kusoma Threads za wale Watu wasio Makini Kwako sawa? Nimemaliza.

Hilo la kwamba Wahaya sijui Siku hizi wamekuwa ni Wapumbavu watakuja Kukujibu Wenyewe Mimi siyo Msemaji wao JF.
 
Faris Burhan ni mpumbavu sana aiseee....

Mwenyekiti wetu wa UVCCM atoe tamko haraka dhidi ya uzwazwa wa huyo mwenzetu......

Siyo mpumbavu bali kawa mkweli. Kwa hilo Maza hatahusishwa as if hajui kinachoendelea..... 4Rs, yah, yah, yah, yah.
 
Alitakiwa awe chinj ya Chatu Chatu Saka Nyoka avue samaki Tandale uswahilini kule ndani ndani Kibera atuambie nani huwa ana mtuma....

Huyu Mmuummbwa apelekwe Korokoroni Isanga grade One
 
Back
Top Bottom