A antimatter JF-Expert Member Feb 26, 2017 44,855 120,869 Dec 14, 2023 #3 Duh.. Chama cha mboga mboga ni jipu linalosubiri kutumbuliwa na umma
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Aug 21, 2018 3,752 5,113 Dec 14, 2023 #4 Tunawasubili kwenye fainali 2025
chiembe JF-Expert Member May 16, 2015 12,226 20,998 Dec 14, 2023 #5 Shule za Samia, tena za msingi, zina mpaka vigae na jipsamuuu, na aluminum windows
Chillah JF-Expert Member Oct 12, 2016 8,351 8,951 Dec 14, 2023 #6 Hakika wanachama wa CCM wana upiga mwingi mno...
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,003 156,329 Dec 14, 2023 #7 Muuza Kangala said: View attachment 2841871 View attachment 2841872 Click to expand... Chama Cha Mazezeta
Muuza Kangala said: View attachment 2841871 View attachment 2841872 Click to expand... Chama Cha Mazezeta
Tlaatlaah JF-Expert Member May 18, 2023 8,882 12,170 Dec 14, 2023 #8 Muuza Kangala said: View attachment 2841871 View attachment 2841872 Click to expand... Shule zinajengwa na ofisi za CCM zinajengwa vilevile.... uwezo upo, nia ipo na ari ipo juu sana. Kwa pamoja tunaweza
Muuza Kangala said: View attachment 2841871 View attachment 2841872 Click to expand... Shule zinajengwa na ofisi za CCM zinajengwa vilevile.... uwezo upo, nia ipo na ari ipo juu sana. Kwa pamoja tunaweza
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Nov 28, 2020 4,544 11,133 Dec 14, 2023 #9 Kuna member kasha wahi sema humu "Nyerere alijenga ofisi za chama kila kijiji,l,lakini alishinda kujenga shule kila kijiji" Afrika ni bara la kiza.Watawala ni wapumbavu.
Kuna member kasha wahi sema humu "Nyerere alijenga ofisi za chama kila kijiji,l,lakini alishinda kujenga shule kila kijiji" Afrika ni bara la kiza.Watawala ni wapumbavu.
kipara kipya JF-Expert Member May 2, 2016 14,456 16,605 Dec 14, 2023 #10 Muuza Kangala said: View attachment 2841871 View attachment 2841872 Click to expand... Walishasema sana na bado hakuna mbadala!
Muuza Kangala said: View attachment 2841871 View attachment 2841872 Click to expand... Walishasema sana na bado hakuna mbadala!
HORSE POWER JF-Expert Member Feb 22, 2015 2,092 1,409 Dec 14, 2023 #11 Bujibuji Simba Nyamaume said: Chama Cha Mazezeta Click to expand... Chama Cha Mamafia
I Imeloa JF-Expert Member Jan 28, 2013 13,025 15,449 Dec 14, 2023 #12 Sitaki hata kusikia mambo ya ccm ni takataka kabisa. Akina Kinana hao ni watu wa kutandika tu risasi, mafisadi wakubwa..🙁🙁🙁
Sitaki hata kusikia mambo ya ccm ni takataka kabisa. Akina Kinana hao ni watu wa kutandika tu risasi, mafisadi wakubwa..🙁🙁🙁