okyo
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,003
- 1,509
Sioni hoja hapo , hiyo nembo , inatoa maana tofaut na chadema kwanini ulalamike acheni kukurupuka
Abbreviation ndio hutoa tofaut na sio nembo
Napata mashaka na uelewa wako au ndo mapenz upofu
Sioni hoja hapo , hiyo nembo , inatoa maana tofaut na chadema kwanini ulalamike acheni kukurupuka
Abbreviation ndio hutoa tofaut na sio nembo
Kwanza hao CHADEMA hiyo M4C nao wameiiba kwa wengine. Huo sio ubunifu wao. Mkapa hakukosea. Mwaka huu itabidi waitupilie mbali hiyo "nembo" ya M4C manaake tayari imeshakuwa kaa la moto. Maccm yamewazidi kete.Sioni hoja hapo , hiyo nembo , inatoa maana tofaut na chadema kwanini ulalamike acheni kukurupuka
Abbreviation ndio hutoa tofaut na sio nembo
Mmevurugwa nembo mtengeneze wenyewe mlalamike wenyewe, nani hasiyezijua propaganda zenu za kijinga. Msifikiri kuwa nyie ndiyo mliosoma peke yenu...
Kwanza hao CHADEMA hiyo M4C nao wameiiba kwa wengine. Huo sio ubunifu wao. Mkapa hakukosea. Mwaka huu itabidi waitupilie mbali hiyo "nembo" ya M4C manaake tayari imeshakuwa kaa la moto. Maccm yamewazidi kete.
SHANTI U have some points, but letz put our political affiliation aside and look this matter in legal perspective according to the Intelectual property Law or any other Law that protect copyright.Kwanza weka wazi hatimiliki ya nembo ya M4C, Kuwa ni mali ya CHADEMA vinginevyo mwacheni Magufuli atumie kwa sababu sheria uliyoorodhesha ingekuwa na nguvu kama mtaweka hadhari hatimiliki ya M4C.
Elewa kwenye siasa unaruhusiwa kutumia mbinu zozote zitakazo mdoofisha mpinzani wako , vinginevyo naona kuna tofauti ya matamshi ambayo CCM na CHADEMA wanamaanisha wakitumia M4C.Nadhani ni mbinu ya kupotosha umma wa watu wasiojua ukweli wa nani ni wa kwanza kutumia, na endapo itapata kiki basi CHADEMA itakula kwao.
M4C= MOVEMENT FOR CHANGE (CHADEMA)
M4C= MAGUFULI FOR CHANGE (CCM)
Mimi naona bado CCM wana haki kwa sababu haijadurufu uhalisia wa kifupi M4C, kirefu cha kifupisho hicho kinatoa tafsiri mbili tofauti. Litabaki suala la rangi peke yake ambalo kama CCM watatumia rangi zao basi ni wazi itakuwa mali yao ila kama wataiga na rangi ambalo hakuna mwenye hatimiliki na rangi zipi za nani kwa sababu target ya CCM ni kupotosha umma bado wanabaki pale pale kwenye kitu kinaitwa propaganda, huenda ikafanikiwa kuwatoa CDM kuacha kujadili masuala ya msingi na kuanza kulalamikia nembo.
391
Huyu naye sijui katokea wapi, anatoa maushuzi tu.malisa na malya wanamtetea mbatia na mbowe.
majibu ya kwanini mwamtetea yapo wazi
Google ni rafiki yetu mkubwa. Kila kitu kiko wazi kabisa. Ogopa sana haya maccm yaliyokubuhu kwa propaganda tangu enzi za Mwalimu.Wameliiba wapi mkuu, embu dadavua kwa ushahidi na wao wakashtakiwe.
SHANTI U have some points, but letz put our political affiliation aside and look this matter in legal perspective according to the Intelectual property Law or any other Law that protect copyright.
I think you maght concur with my submission first before adding any crucial point of law on the intellectual property.
CHADEMA registered M4C as Movement 4 Change. CCM I dnt think if they have registered but they are using M4C as Magufuli 4 Change.
The abbreviation is the same though interpretation, drift, and implication (use), might be different. But significance, worth, and purport might be the same likewise.
Therefore if CCM registered it or not they shall liable for copyright law.
The Laws protect copyright doesnt protect the implication itself, protects Designing, colour, signature, brand name etc.
Since that logo is registered for CHADEMA then CCM to use the same logo though in different implication dsnt put them aside from liability.
I respectely concur with your submission on implication of the word M4C, but I differ with u in colour identity, designing, abbrevistion of the same word.
We all aware that CHADEMA is a registered party with its identity colours therein, and CCM likewise. So CCM copying and pasting even chadema's colours, I hasitate to say they must be liable.
If I ask u where dd CCM find red colour in their logo, you might not find the coherent response.!
Kabla hujaandika habar kama hii ni vema ungejiridhisha na upande wa pili(CCM) kujua kama kweli matumizi ya logo hiyo yameidhinishwa na chama au la? Otherwise kinachoendelea ni ushabiki wa mitandaoni na ccm haiwez kuwazuia watu kufanya wanachojiaikia kiushabiki..
Shakespeare hakuwa na Kiingereza kibovu kama hiki.Zaidi ya kutumia kingereza cha Shakespeare sijaona jipya kwakweli!
Sioni hoja hapo , hiyo nembo , inatoa maana tofaut na chadema kwanini ulalamike acheni kukurupuka
Abbreviation ndio hutoa tofaut na sio nembo
Alinselema alija na tuna imani na Nyerere... ni nyimbo ambazo tuliziimba sana miaka ya sitini na sabini mashuleni wakati wa enzi za chama kimoja (CCM/TANU) kwa hiyo CCM hawajaiba hapo. Kwenye mchakamchaka tulikuwa tunaimba kama hivi:Kama waliiba ASLISEMA .... Tuna imani na Lowassa ,,,,,sasa cha ajabunini
Kesho Magufuli atakuja katia nywele unga ziwe white kama Lowasa