CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi

Mkuu umenena. TRA na Police ni janga. Kama wanataka waweke "white paper" kupata maoni kuhusu taasisi hizi mbili. Hawa si issue ya vyama hawa jamaa ni shida.
 
Tunaishi kwa kukomoana lakn ipo siku watatuelewa tu

Ova
 
Jamani TRA ni chuma ulete hawana huruma na wafanyabiashara hata uwe mwema vipi wanakunyoosha kwenye kodi zisizo na maana alafu kila mara wanaingiza sheria mpya bila hata kushirikisha wadau wajiandae....mwaka jana mwishon wametupa hasara kontena nne yaani zmekaa mwezi kisa tu sheria zao zizazobadilika badilika mtu hata hujajiandaa.Ukikimbilia Kwa majirani zetu ukifika border na mzigo wako unaanza upya yaani wanatia hasira na hasara wanatuhujum wafanyabiashara mno.Siwapendi!!!
 
Nadhani huyo aliekwambia aweke documents hapa maana ki utaratibu kodi na ushuru wa forodha ni i.e import duty either 10%-25% VAT 18% au huyo mtu alileta bidhaa zinazozalishwa humu ndani, iweke ile kodi ya makadirio aliyopewa tuanze kuichambua
Expansion joint aliweka ushahidi mpaka sasa mnataka msanane, na unataka huyu wakodi aweke ushahidi hadharani...unamtakia heri kweli
 
Nadhani huyo aliekwambia aweke documents hapa maana ki utaratibu kodi na ushuru wa forodha ni i.e import duty either 10%-25% VAT 18% au huyo mtu alileta bidhaa zinazozalishwa humu ndani, iweke ile kodi ya makadirio aliyopewa tuanze kuichambua
Expansion joint aliweka ushahidi mpaka sasa mnataka msanane, na unataka huyu wakodi aweke ushahidi hadharani...unamtakia heri kweli
 
Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
Wanaanguasha CCM tu au nchi nzima.... wataona matokeo ya umasikini . Mahakama ya rushwa haina hata watuhumiwa...
 
Alianza sumri kauza mabasi kaenda kulima, sasa hivi katagi zinauzwa nae kaenda kulima, muro kabakiza zakuleta hela ya mboga, happy nation nae kauza, green star kauza, hajjs kayakatakata screpa, bado mnawadanganya watu kuwa mnakusanya kodi? Muda sio mrefu mtarudisha kodi ya kichwa.
Ilasi, millennium na Gamet nao wameamua kuachana na mabasi
 
Nashauri kama kuna mtu anataka kutoka kimaisha awamu hii akawekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji na mifugo. Issue inayonihusu kwenda bandarini au TRA mimi kwangu mwiko, hivi nawaza mwakani niagize kigari changu beforward nawaza itakuwaje,
 
Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi,hizo porojo zenu na ujanjaujanja wa kijinga umepitwa na wakati.

Poleni kwa kushikwa pabaya.

Tunajenga nchi,Tanzania kwanza.
Kulipa kodi halali kwa maendeleo sio kubambikiana!
 
TRA inavuruga uchumi wa chi. Makampuni ndio usiombe. Waigiza magari vilio. Ni kweli bunge iingilie kati, alafu ni miungu watu, wanasema mbovu balaa
 
Kuna mtu alicomment vzr sana..... Watu wasome sheria za kodi vzr na marekebisho yake.....kuna namna ya kukata rufaa na watu wengi huwa inatokea wanashinda dhidi ya tra.....tujifunze taratibu sio kulalamika tu....kila kitu kipo kisheria
Hivi ushawahi kufanya biashara yoyote nchii hii wewe?

Unajua ili case yako ikasikilizwe na hao ma commisioner wa TRA unatakiwa uwe umelipia kiasi gani cha thamani hio pesa unayodaiwa na TRA?

Acha ujuaji bwn mdogo.
 
Kwa nn ww uzidishe?..... Unapewa nafasi ya kufanya declaration unadanganya..... Tujifunze kuwa wakweli...na ndo maana ya hizo penalty......hawa tra wa watu mnawasingizia bure tu.... Mfano unaenda dukani watu hawataki kutoa risiti.... Wakipigwa penalty wanalalamika..... Wakati machine anayo Lakini kwa makusudi hatoi risit labda kwa kudai Sana na ugomvi.... Nasema TRA fanyeni kazi..... Bado hatujanyooka....hiz ni kelele tu tena za kishabiki
Swali langu ni hili huu ujazo wa mahindi wa kilo tisini ni kwa faida ya nani mkulima au mfanyabiashara, na anafaidika Kwa namna gani?
 
Hope wahusika Watasikia
Watasikiaje? Aache upuuzi wake yaani mzigo uwe na thamani ndogo kuliko kodi halafu yeye anabaki kuja mitandaoni kulalamika tena kwa Serikali ya JPM? Alichukua hatua gani?
Halafu huyo mtu aliyepinguzwa kazi, alitoa wapi mtaji mkubwa kiasi hicho kiasi cha kuamua kuuweka wote kununua bidhaa tena kutoka nje? Je aliwahi kufanya biashara hiyo kwa hiyo Ana uzoefu ama alianza kuifanya baada ya kupunguzwa kazi?
 
Kama hizo habari siyo za ukweli utakua unalichonganisha taifa lako na wananchi wake
Kama hufanyi biashara za kimataifa usiingilie jambo hili , TRA ndio njia ya haraka kwa sasa ya kuua uchumi wa Tanzania , Dr Mpango alikuwa TRA lakini nakuhakikishia ndio waziri wa fedha atakayezika Tanzania kiuchumi , sababu kubwa ni kwamba hana uzoefu wa kufanya biashara yoyote , hajui biashara na hajui kwamba msingi mkuu wa hela zinazopatikana Tanzania ni wafanyabiashara .

Wafanyakazi wengi wa TRA hawana ujuzi wowote wa biashara hata ya kuuza mapera na wanaamini kwamba wafanyabiashara ni maadui wa nchi , sijui aliyewadanganya kama yuko hai , halafu kufanya kazi kwao TRA wanajiona kama wateule wa Mungu , kwahiyo wanaweza kufanya chochote tu .

Yetu macho .
 
Ni kweli, na biashara nyingi zinakufa. Thank you to TRA
 
Back
Top Bottom