CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

Mzigo wa $4600 kodi milioni 16, halafu unawaambia watu walipe kodi..
Mkuu hujawahi kufanya biashara, na kama ungekuwa mfanya biashara ungejua kwa nini watu hukwepa kodi..
Kodi Tanzania sio rafiki kuanzia kwa mfanya biashara mpaka mfanyakazi, tukiwa na mawazo huru tutajenga hii nchi..
na haitokaa iwe rafiki kwa watu wasiopenda kabisa kulipa kodi na kupenda super profit.
 
na haitokaa iwe rafiki kwa watu wasiopenda kabisa kulipa kodi na kupenda super profit.
hivi we chizi kichwa chako kina karatasi au ubongo?
yaan mzigo wa million 10, alafu kodi m 16 n sahihi?,
ama kweli nimeamin mtaji wa ccm n misukule yenye akili mfu kama hii
 
sio suala la kukariri cha msingi hapa ni kuwa wazalendo kwa kulipa kodi stahiki basi.
Sawa, kama haujakariri, naomba unifafanulie maana ya msemo 'enzi zimebadilika' as far as ushuru is concerned
 
Hili limekaa kimajungu Sana na sidhani kama linawezekana.... kodi inatozwa kwa mujibu wa sheria, hivyo ofsa akifanya makadirio muulize ni kulingana kifungu kip cha sheria.....
Hiyoo ndiyoo akilii ya kitotoo ambayoo vijiccm vinavyooo mnahisi kwamba hii nchiii ni yenuuu lkn kila kituu kina mwishooo kama mugabe ameondokaa sembuse CCM
 
Hapa naona unachotaka ni kuigombanisha tu Tra na Serikali..... Pia wanakuwaga na email yao yani huduma@tra.go.tz.....tuma madukudu yako huku...... Huwa wanafanyia kazi...... Au wapigie customer care yao 0800780078.

Hakuna kitu hapo ndugu, labd akama hayajawahi kukufika, hawa TRA ni wajinga na hawatumii akili ndio maana hawana busara, Kuna biashra ipo Mtu kashindwa kununua EFD ya 700,000/= biashra inamizezi miwili wameipiga faini ya 3Mil na kuifunga, wanataka mtu aliyeshindwa kulipa 700,000/= akalipe 3,000,000/= ili wamfungulie bishara yake. Mwezi watatu sasa biashara imefungwa sasa. ajira zawatu zaidi ya wawili dukani imekwenda na maji na kipato cha familia cha kuhudumi WATU WAIIDI YA WATANI KIMEZAMA.
 
hivi we chizi kichwa chako kina karatasi au ubongo?
yaan mzigo wa million 10, alafu kodi m 16 n sahihi?,
ama kweli nimeamin mtaji wa ccm n misukule yenye akili mfu kama hii
Weka document hapa mbona unaleta blabla nyingi?.... Hakuna kitu kama hicho...unatuonyesha kuwa hajui hata unachokisema.... Ni ushabiki tu
 
Weka document hapa mbona unaleta blabla nyingi?.... Hakuna kitu kama hicho...unatuonyesha kuwa hajui hata unachokisema.... Ni ushabiki tu
wewe ndio wale wale wa kula kulala kwa shemeji hamjui maisha,mixigo mingi imeozea bandarini Kodi sio rafiki KBS
 
wewe ndio wale wale wa kula kulala kwa shemeji hamjui maisha,mixigo mingi imeozea bandarini Kodi sio rafiki KBS
Mbona unakimbia point ya msingi?.... Weka ushahid hapa....Kama sio kwamba umehadithiwa na shangaz yako....halaf wala hukumsikiliza vzr
 
Hapa naona unachotaka ni kuigombanisha tu Tra na Serikali..... Pia wanakuwaga na email yao yani huduma@tra.go.tz.....tuma madukudu yako huku...... Huwa wanafanyia kazi...... Au wapigie customer care yao 0800780078.
Email hiyo ni moja ya upuuzi tu.Hazifanyiwi kazi,na hazina security yoyote kwa mtoa taarifa.TRA ni watu wa kumulikwa na tochi kali.Lazima watu wafanye kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu na siyo hisia na kukomoana.Lengo lao ni kuhujumu serikali.Hawakusanyi kwa uaminifu na ufanisi.Wamejaa hila na ubabe usio na msingi.Kama atawaacha waendelee kuwa hivyo na awaache tu Ila kweli hawa jamaa wanaharibu sana
 
Kuna watu wapo serikalini lakini bado wanaipinga serikali Hawa ndio wanaangusha CCM
 
Bandari ikileta mizigo mingi hii kodi ndogo ndogo ingesaidia uchumi na pia mzunguko wa pesa ndani. Ni kheri kutumia bandari ya Mombasa us huru unaeleweka

Hizo ni gharama za bandari(Port charges).
Ukishushia mzigo bandari ya Mombasa utakuwa umezipunguza kidogo.Ushuru wa forodha(import customs duties)upo pale pale.Ukifika mpakani TRA utakutana nao tu..
 
Mlizoea mteremko lipeni kodi kwa maendeleo ya Taifa.
Bila shaka uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Mzigo wa $4,600 ambao kwa hela za TZ ni kama sh 10M sawa inakuwaje kodi ikawa million 16.

Jibu hoja kwa hoja si kwa ubongo uliolala
 
Nyie msi walaumu TIARAEI.
Tatizo ni target wanazo pewa na hofu ya kutumbuliwa.
Mm kama mfanyabiashara ni kweli tuba hali ngumu sana sana.
Jamaa wakija kwako ni shiida sio suala la rushwa ila wanataka waonekane wanafanya kazi.
Kutumbuliwa sio issue mkuu,kama wewe huna tatizo kwa nini uwe na hofu ya kutumbuliwa?Kama wana hofu ya kutumbuliwa kuna shida!

Nakubaliana na wewe kwamba wafanyibiashara tuna shida,kwa kuwa hata mimi ni mfanyibiashara.Hata hivyo hii ni kwa sababu ya mazoea tuliyokuwa tumejihengea kwenye mzunguuko mkubwa wa fedha unrealistic ulikuwepo for obvious reasons. We must adjust to the new reality and design new ways of doing business,otherwise we will disappear in the business scene .
 
Turudi kwenye capitalism na free market
Mkuu mbona mfumo tulionao ni free market because prices of goods and services are not controlled by the government,they are controlled by supply and demand in the market place.Halafuu, our political and economic system is capitalism although on paper it is socialism.Mkuu uchumi wetu kwa kiwango kikubwa uko controlled by the private sector, not by the government.Infact the government is encouraging the private sector to invest more and is is trying hard to create a conducive environment for them to do just that.
Inaelekea mkuu you are just there to criticise,sio kujenga,kwa kuwa inaelekea hujui hata unachoongelea.We want constrictive criticism.
 
Back
Top Bottom