CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

Duh! Pole zake. Bado na hawa wa mizani na vipimo. Wanawaumiza kweli wafanyabiashara wa mazao kwa kuwabambika kesi zisizo na msingi.
 
Machadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi

Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.

Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
Kwahiyo hata yule msukuma mkuregenzi mkuu aliyechaguliwa na Magu ni mchadema?
 
Ili twende sawa watu wajisomee kitu kinaitwa East Africa Customs Management Act 2004, na marekebisho yake kadhaa humo utajua haki zako wewe kama ni mfanya biashara au msafiri tu wa kawaida, humo utasoma ushuru wa forodha na jinsi utaratibu wake ulivyoshida watu wanataka kifanya biashara za kimataifa lakini hawataki kujifunza juu ya ushuru wa forodha kwa kifupi hio sheria ipo kwenye website ya TRA
 
Mimi nafikiri kwamba huyo dada anayo nafasi ya kuapeal kama kunaonekana kuna onevu wowote... unapopewa kodi yako sio mwisho kama haujaridhishwa... lakini kama ni kweli ndo kiasi anapaswa kulipia basi afanue hvyo kwakuwa ukimuhurumia kila mtu hauwezi kupata kodi...
 
Inasikitisha na kuwa na mitandao hawataki kuweka wazi juu ya kodi zao

Waelezee hata kurasa 20.. kwani wameambiwa watu hawatazisoma..

Lazima wanafanya hivyo ili makundi yao humo ndani yapige pesa bure bure..
 
Nadhani huyo aliekwambia aweke documents hapa maana ki utaratibu kodi na ushuru wa forodha ni i.e import duty either 10%-25% VAT 18% au huyo mtu alileta bidhaa zinazozalishwa humu ndani, iweke ile kodi ya makadirio aliyopewa tuanze kuichambua
 
Bandari ikileta mizigo mingi hii kodi ndogo ndogo ingesaidia uchumi na pia mzunguko wa pesa ndani. Ni kheri kutumia bandari ya Mombasa us huru unaeleweka
 
Machadema yamejaa TRA. Unategemea nini?
Hili limekaa kimajungu Sana na sidhani kama linawezekana.... kodi inatozwa kwa mujibu wa sheria, hivyo ofsa akifanya makadirio muulize ni kulingana kifungu kip cha sheria.....
 
Duh! Pole zake. Bado na hawa wa mizani na vipimo. Wanawaumiza kweli wafanyabiashara wa mazao kwa kuwabambika kesi zisizo na msingi.
Hawa jamaa wanataka mahindi uweke ujazo wa kilo 90 wakikuta hata imezidi kilo 5 faini inafikia mpaka laki 5.ninachoshindwa kuelewa ujazo huu ni kwa faida ya nani?
 
Machadema yamejaa TRA. Unategemea nini?
mbona suala ya mambo ya nchi, mambo ya taifa unaingiza vyama, sasa unataka kusema ccm au vyama vingine hawamo humo? acha hizo mkuu, nchi yetu 1 usilete mambo ya kibaguzi, tukae pa1 tujenge nchi yetu, msipende kubaguana, kitu chochote mnakimbilia siasa, hatutafika popote
 
Bora upeleke mzigo kampala halafu uingize kinyemela mtukula.Bandari ya Dar TRA wamefanya ni kitega uchumi
 
Hawa jamaa wanataka mahindi uweke ujazo wa kilo 90 wakikuta hata imezidi kilo 5 faini inafikia mpaka laki 5.ninachoshindwa kuelewa ujazo huu ni kwa faida ya nani?
Kwa nn ww uzidishe?..... Unapewa nafasi ya kufanya declaration unadanganya..... Tujifunze kuwa wakweli...na ndo maana ya hizo penalty......hawa tra wa watu mnawasingizia bure tu.... Mfano unaenda dukani watu hawataki kutoa risiti.... Wakipigwa penalty wanalalamika..... Wakati machine anayo Lakini kwa makusudi hatoi risit labda kwa kudai Sana na ugomvi.... Nasema TRA fanyeni kazi..... Bado hatujanyooka....hiz ni kelele tu tena za kishabiki
 
Mheshimiwa Rais Magufuli achukue hatua za haraka kuiangalia TRA kuna dalili kubwa ya kuhujumiwa
 
Kwa nn ww uzidishe?..... Unapewa nafasi ya kufanya declaration unadanganya..... Tujifunze kuwa wakweli...na ndo maana ya hizo penalty......hawa tra wa watu mnawasingizia bure tu.... Mfano unaenda dukani watu hawataki kutoa risiti.... Wakipigwa penalty wanalalamika..... Wakati machine anayo Lakini kwa makusudi hatoi risit labda kwa kudai Sana na ugomvi.... Nasema TRA fanyeni kazi..... Bado hatujanyooka....hiz ni kelele tu tena za kishabiki
Inaonekana wewe ni mtu wa kijiweni hujui maana ya biashara
 
Mleta mada nakushauri unapoketa issue tujadili weka na nyama, ungeweka document na ni bidhaa gani kwa kiwango gani.tusipost vitu kimajungu unadai unataka kuacha kazi umo TRA acha kazi basi .Inawezekana dili lako hilo limebumbuka.
 
Back
Top Bottom