Siku hizi kenge mnajua kusoma na kuandikaMachadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi
Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.
Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
Kuna mtu alicomment vzr sana..... Watu wasome sheria za kodi vzr na marekebisho yake.....kuna namna ya kukata rufaa na watu wengi huwa inatokea wanashinda dhidi ya tra.....tujifunze taratibu sio kulalamika tu....kila kitu kipo kisheriaBandari ikileta mizigo mingi hii kodi ndogo ndogo ingesaidia uchumi na pia mzunguko wa pesa ndani. Ni kheri kutumia bandari ya Mombasa us huru unaeleweka
Maana ya biashara sio tu kupata faida... Ni pamoja na kufuata Sheria na taratibu za nchi...... mnaambiwa muweke doc kama ni kweli Mnaleta blabla..... Sheria lazima uchukue mdondo wake tu.... Wafanyakazi nchi hii kwanza ndo wanalipa Sana kodi na husikii kelele zao.... Wengine mkiguswa mnapaniki.... Mm nasema asionewe mtu lakn Sheria ifuatweInaonekana wewe ni mtu wa kijiweni hujui maana ya biashara
Toa hoja yenye kusaidia pande zote basi! Kodi sio vita wala uadui na kama maneno yako yanamaanisha kuwakomoa walipakodi basi tegemeeni anguko kuu la uchumi ambalo hakuna atakayesalimika.mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.
sio kwa milioni 16 aisee kwa vitu vya dola 4,600, huo ni wizi sasa,
Hata ulichoandika hukielewi.Mlizoea mteremko lipeni kodi kwa maendeleo ya Taifa.
labda wewe mpingaji ndio hujanielewaHata ulichoandika hukielewi.
Ukitumia bandari ya Mombasa kama mizigo ni ya Tz horohoro boarder na namanga maTRA si yapo pia?!!!Bandari ikileta mizigo mingi hii kodi ndogo ndogo ingesaidia uchumi na pia mzunguko wa pesa ndani. Ni kheri kutumia bandari ya Mombasa us huru unaeleweka
Hoja hapa ni kulipa kodi basi hakuna mambo ya kubembelezana kwenye suala hilo.Toa hoja yenye kusaidia pande zote basi! Kodi sio vita wala uadui na kama maneno yako yanamaanisha kuwakomoa walipakodi basi tegemeeni anguko kuu la uchumi ambalo hakuna atakayesalimika.
Shawishi elimu na hata kubembelezwa hao walipa kodi wasijekuhamisha mitaji na biashara zao kwani bila wao hakuna kitakachokwenda!
Mkuu wana njia zao usiniulize, huko huko HorohoroUkitumia bandari ya Mombasa kama mizigo ni ya Tz horohoro boarder na namanga maTRA si yapo pia?!!!
Kwanini at first place wasiweke kodi stahiki kwanini wabambikie?Kuna mtu alicomment vzr sana..... Watu wasome sheria za kodi vzr na marekebisho yake.....kuna namna ya kukata rufaa na watu wengi huwa inatokea wanashinda dhidi ya tra.....tujifunze taratibu sio kulalamika tu....kila kitu kipo kisheria
Ungeshirikisha ubongo, japo kwa asilimia kumi tu!Machadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi
Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.
Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
Mkuu ni kweli kwamba CDM walio wengi wanamhujumi JPM,lakini naamini pia kwamba si wote.Wapo CDM wanaomuunga Rais mkono kwa kazi nzuri anayoifanya.Lakini ni kweli pia kwamba wapo CCM wengi wanaomhujumu Rais!Hawa ni wale waliofaidika sana na mifumo na utendaji mbovu wa awamu zilizopita,hasa awamu ya tatu na nne.Kwa hiyo si kweli kwamba ni wanachama wa CDM tu wanaomhujumu Rais,hata wanachama wa CCM wanamhujumu.Infact si wanachama wa vyama hivyo tu wanaomhujumu,ila ni wale wote waliofaidika kwa njia moja au nyingine na utendaji mbovu wa awamu za tatu na nne.Swali zito ni watatambuliwaje ili waweze kuondolewa kwenye utumishi si TRA tu, ila popote walipo?Machadema yamejaa TRA. Unategemea nini?