CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

Mkuu mbona mfumo tulionao ni free market because prices of goods and services are not controlled by the government,they are controlled by supply and demand in the market place.Halafuu, our political and economic system is capitalism although on paper it is socialism.Mkuu uchumi wetu kwa kiwango kikubwa uko controlled by the private sector, not by the government.Infact the government is encouraging the private sector to invest more and is is trying hard to create a conducive environment for them to do just that.
Inaelekea mkuu you are just there to criticise,sio kujenga,kwa kuwa inaelekea hujui hata unachoongelea.We want constrictive criticism.
What do you mean by free market wakati serikali inatamaa ya kufanya biashara kama private sector. Leo tender zote za ujenzi zinapewa TBA na SUMA JKT. Leo serikali inazuia wakulima kutafuta soko nje ya kuuza mazao yao mfano wakulima wa mahindi huko mikoa ya kusini; wafanyabiashara wa samaki wamewekewa striction ya kutosafirisha samaki au dagaaa bila so called kibali..
Hiyo free market unayo ni theoretically not practically. CCM ni chama hakina dira maalum kwa uchumi wa Tanzania
 
Mimi nilishangaa kwa hotel huko mtwara kudaiwa kodi ya malimbikizo ya bilion moja!? Je biashara ni nzuri hivyo kwa 30% ya kaisari kuwa kubwa hivyo!? Ndio utawajuwa hawa tra na uonevu uliopitiliza
 
Mimi nilishangaa kwa hotel huko mtwara kudaiwa kodi ya malimbikizo ya bilion moja!? Je biashara ni nzuri hivyo kwa 30% ya kaisari kuwa kubwa hivyo!? Ndio utawajuwa hawa tra na uonevu uliopitiliza
Kuna wengi sana ambao hawawezi kupaza sauti zao ambao wanalia kimya kutokana na uonevu wa TRA. Ni mbaya kwa kweli, watu wanafilisiwa pasipo sababu ya msingi, kila siku
 
Mimi nilishangaa kwa hotel huko mtwara kudaiwa kodi ya malimbikizo ya bilion moja!? Je biashara ni nzuri hivyo kwa 30% ya kaisari kuwa kubwa hivyo!? Ndio utawajuwa hawa tra na uonevu uliopitiliza
Mkuu hawa TRA kwa mfumo wao wa mahesabu wanapiga kodi kutoka kwenye Gross Profit badala ya Net Profit
 
Biashara hakuna siku hizi naskia na meli zimepungua bandarini huko, watu wengi wanakimbilia Kenya kupitisha mizigo yao
 
What do you mean by free market wakati serikali inatamaa ya kufanya biashara kama private sector. Leo tender zote za ujenzi zinapewa TBA na SUMA JKT. Leo serikali inazuia wakulima kutafuta soko nje ya kuuza mazao yao mfano wakulima wa mahindi huko mikoa ya kusini; wafanyabiashara wa samaki wamewekewa striction ya kutosafirisha samaki au dagaaa bila so called kibali..
Hiyo free market unayo theoretically not practically. CCM ni chama hakina dira maalum kwa uchumi wa Tanzania
Free market kama unavyoitaka wewe mkuu haipo popote duniani.Halafu hivyo unavyovitaji ni vitu vichache sana ukilinganisha na private sector businesses zilizoko Tanzania.Mkuu tunaona jamaa wanatuibia halafu bado tuendelee kuwapa kazi! Itakuwa ni ujinga wa aina gani.Unless they prove that they are worth a tender by being faithfull,hawatapata.And then hebu nipe mfano wa kampuni yeyote binafsi ambayo imekataliwa ku-invest Tanzania,surely hakuna.Uingereza,Marekani,Ujerumani nk. kuna some kind of control,this is necessary ili nchi iwe salama.It is everywhere.Tanzania sio exception.
 
Juzi jamaa yangu alienda kufunga biashara hawa tra waligoma katakata, afisa akaanza kulalamika nitawaambiaje boss wangu kuwa nimekuruhusu ufunge biashara bora ubaki tu nadeni bila kulipa, mawazo ya kijinga tu
Mkuu kabla ya kufunga biashara kama una deni lolote ni kulipa kwanza
 
hadaiwi kodi ya nyuma kaona makodi ya ajabu kaamua kufunga kaduka kake anaenda kulina asali
Uzuri wa kodi ni kila kitu kipo kisheria yeye angeandika barua ya kusimamisha biashara ikapitia uongozi wa serikali ya mtaa TRA wao hata wakikataa kuipokea hio barua yeye shida hana.
 
Kama utajiuzuru njoo huku umuunge mkono baba kwa kazi njema anayefanya ya kuinua uchumi wa nchi na Kukusanya kodi kwa wingi. Tunakusubiri
 
Japo kila kitu kinawezekana lakini sioni logic ya kodi tajwa hapo juu. Kila mwezi tunaleta shipment mbili mpaka tatu ila kodi haijafikia hapo japo ni kubwa.
 
Free market kama unavyoitaka wewe mkuu haipo popote duniani.Halafu hivyo unavyovitaji ni vitu vichache sana ukilinganisha na private sector businesses zilizoko Tanzania.Mkuu tunaona jamaa wanatuibia halafu bado tuendelee kuwapa kazi! Itakuwa ni ujinga wa aina gani.Unless they prove that they are worth a tender by being faithfull,hawatapata.And then hebu nipe mfano wa kampuni yeyote binafsi ambayo imekataliwa ku-invest Tanzania,surely hakuna.Uingereza,Marekani,Ujerumani nk. kuna some kind of control,this is necessary ili nchi iwe salama.It is everywhere.Tanzania sio exception.
Huo wasiwasi wa kumuona kila mfanyabiashara/mkandarasi ni mwizi ndio utazidi kudidimiza uchumi. Mkuu hapa tuna discuss masuala ya Tanzania sio Uingereza.
 
Machadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi

Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.

Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
Si ndiyo maana jamaa anawashitua ccm wawabane hao chadema mkuu!?
 
Machadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi

Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.

Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
Ashafeli mkuu huoni kila kona mambo yanamwendea mrama?
 
Back
Top Bottom