CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

Kuna jamaa yangu juzi kati alikua anatokea nje ya nchi,kufika airport tra walipomkagua kwenye bag lake wakakuta mashati 4 mapya,wakamuambia ayalipie kodi
 
Mlizoea mteremko lipeni kodi kwa maendeleo ya Taifa.
Sidhani kama uliwahi kufanya biasahara yoyote na kukumbana na adha ya TRA na sidhani kama una hata chembe ya wazo la biasahara! sidhani hata kama unajifahamu vzr na sidhani kama unajua tamati ya maisha yako huko mbeleni. Inaonekana wewe nibora kumekucha na ni bendera fuata upepo.
 
Ni kweli, na biashara nyingi zinakufa. Thank you to TRA
Huku kwetu Tandika wameanza kuwatwanga faini ya milion 3 hata wauza maandazi na chai kwa kutokuwa na Machine za EFD , ukiwa unauza kahawa na kashata na ukaweka viti hata viwili tu , TRA Temeke inaona hiyo ni hotel , ni aibu sana !
 
Ifike mahali,wafanyabiasha waanze kutumia wataalamu.Sio kwasababu umeweza kupata mtaji wa kufanya biashara,basi umeshakuwa Mhuasibu,mtaalamu wa kodi,mtaalamu wa shipping.Bongo ni kawaida sana kukuta mfanyabiasha mwenye Turn over ya zaidi million 500,lakini hana Muhasibu wa file hata moja lenye document za biashara yake.
 
Ungewasaidia Kaliko kuwalaaumu
 
Kwa mujibu wa mleta taarifa, inawezekana kabisa ikawa kweli kulingana na mfumo wa tra kwenye kodi...... Mana hata biashara zingine tu, utaratibu wa kodi ni kwenda kwanza tra na kuwaonesha mtaji wako alafu wakukadilie kodi..... Huu ni mfumo mbovu unakadiliwaje kodi bila kuaanza hata biashara? Lkn pia tuchukulie umeanza biashara bila kwenda huko tra, na mtaji wako ni milioni 4,kupitia huu mtaji unaweza ukawa unauza hata laki moja kwa siku.... Tra wakija kwanza utaulizwa unauza sh ngapi kila siku, ukitaja hicho kiwango basi wanakokotoa then wanapta kodi yao, sasa kama unauza laki moja, kodi yake ni milioni moja na laki sita, sasa unalipaje kiasi hicho kwa mtaji huo? Mwaka 2015 tra walinikadiria kodi kubwa au sawa na mtaji.. Hapo ndipo nilipogundua mfumo wa tra unasababisha ukusanyaji mbovu mana watu wanatunza mzigo wa mamilion ndani lkn dukan kaweka vitu viwili kwa sababu tu mfumo wa tra sio rafiki........ Kwa hiyo basi kilichomkuta huyo dada huko bandarin inawezekana kabisa tra wakampa kodi kubwa kuliko mtaji,......... Hii tasisis inahitaji mabadiliko makubwa ya sheria na utaratibi wa ukadiriaji kodi, lkn pia mazingira rafiki ni bora watu wakatozwa kodi ndogo Alaf kila mfanya biashara akalipa kuliko kodi kubwa lkn watu wanakimbia hivyo kupunguza sana mapato dat y hakuna mfanyabiashara alie na urafiki na tra ni vurugu na kufunga maduka mwanzo mwisho
 
Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
Huku kukabana na kubambikiwa ni sera rasmi ya awamu hii. Kosa ni pale pa kufikiria anaowakomoa ni wapinzani tu
 
Dunia ni mpishano Hakuna atakayekaa siku zote
 
Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
Asante mkuu.Ni kweli hujuma za kufa mtu zipo, wala sio TRA tu,ila ni kila penye mkono wa kinachoitwa utumishi wa umma,mfanyibiashara makubwa na hata CCM.The government must do something tena drastic,vinginevyo chuki ya wananchi kwa serikali yao itazidi kuongezeka.Nadhani mtandao huu wa hujuma ni mkubwa sana na inaelekea ni well organized.They could be focussing on 2020.
 
Matumizi ya hovyohovyo ya 'h' hata pasipo stahili inaudhi!!!. Mleta mada hivi ulisoma kiswahili wewe!!??
 
Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
Mkuu umeandika kwa uchungu sana haswa juu ya huyo dada. Juzi kuna polisi wamekamata daladala, halafu wanaanza kuwashika mashati yao wakisema kwa sababu ya huu uchafu kwenye kola ya shati la konda inabidi wapigwe faini.

Sasa katika jua la Dar na aina ya nguo wanazovaa yule konda anaweza vipi kufanya kazi na nguo safi siku nzima ya kazi?.

Kuna uonevu mkubwa sana kwenye hizi mamlaka, lakini hii ni spirit wanayoitoa kwa wakuu kabisa wanaoidhinisha mishahara yao. TRA ya sasa haina ubunifu wa upatikanaji wa mapato, kibaya zaidi hata maoni ya wabunge wa CCM yamekuwa yakirudiwarudiwa kila mwaka, hakuna wa kuyafanyia kazi.

Kuna kiburi fulani ambacho hakina faida, at the end of the day wafanyabiashara wakubwa wanakimbilia bandari za nchi jirani, na hawa wadogo ambao mitaji yao ni ya kudunduliza wanaishia kufunga biashara zao!.

Hakuna anayeumizwa na kufilisika kwao kwa sababu ya kiburi nilichokiongelea hapo juu. Hakuna anayejiuliza baada ya miaka mitatu kuanzia sasa hali itakuwaje, ikiwa hakutakuwa na ingizo la tabaka jingine la wafanya biashara kwani kasi ya ufungaji wa biashara na kubwa kuliko ya uanzishwaje.

Mimi ni shabiki mkubwa wa CCM na sera zake, lakini kwenye hili la TRA na stubbornness ya serikali, ni lazima niyaseme yaliyo ndani ya moyo.
 
Machadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi

Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.

Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
Akili zako mavi kweli
 
Mkuu umeandika kwa uchungu sana haswa juu ya huyo dada. Juzi kuna polisi wamekamata daladala, halafu wanaanza kuwashika mashati yao wakisema kwa sababu ya huu uchafu kwenye kola ya shati la konda inabidi wapigwe faini.

Sasa katika jua la Dar na aina ya nguo wanazovaa yule konda anaweza vipi kufanya kazi na nguo safi siku nzima ya kazi?.

Kuna uonevu mkubwa sana kwenye hizi mamlaka, lakini hii ni spirit wanayoitoa kwa wakuu kabisa wanaoidhinisha mishahara yao. TRA ya sasa haina ubunifu wa upatikanaji wa mapato, kibaya zaidi hata maoni ya wabunge wa CCM yamekuwa yakirudiwarudiwa kila mwaka, hakuna wa kuyafanyia kazi.

Kuna kiburi fulani ambacho hakina faida, at the end of the day wafanyabiashara wakubwa wanakimbilia bandari za nchi jirani, na hawa wadogo ambao mitaji yao ni ya kudunduliza wanaishia kufunga biashara zao!.

Hakuna anayeumizwa na kufilisika kwao kwa sababu ya kiburi nilichokiongelea hapo juu. Hakuna anayejiuliza baada ya miaka mitatu kuanzia sasa hali itakuwaje, ikiwa hakutakuwa na ingizo la tabaka jingine la wafanya biashara kwani kasi ya ufungaji wa biashara na kubwa kuliko ya uanzishwaje.

Mimi ni shabiki mkubwa wa CCM na sera zake, lakini kwenye hili la TRA na stubbornness ya serikali, ni lazima niyaseme yaliyo ndani ya moyo.
CCM ndio chanzo cha tatizo kuu la kufeli kwa kila kitu nchini. Acheni kuwasingizia TRA. TRA wao ni watekelezaji tu wa amri na sera za CCM.
 
Back
Top Bottom