Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,552
duu Mungu tunusuruMimi nilisha achia zaidi ya magari 4 miaka 2 iliyopita nikachanganyikiwa hadi nikasahau na kuzoea na kuanza A. Unanunua gari $2600 lipo Dar, ushuru $4,600!!!
duu Mungu tunusuruMimi nilisha achia zaidi ya magari 4 miaka 2 iliyopita nikachanganyikiwa hadi nikasahau na kuzoea na kuanza A. Unanunua gari $2600 lipo Dar, ushuru $4,600!!!
Hakuna msukumo wa kisiasa hiyo ni fact. Wakuu wa Idara zote wamewekewa malengo ya kukusanya kodi ambayo ni ya juu sana inabidii na wao wapige kodi za juu. Ukichunguza mzunguko wa kifedha (buying and selling) upo chini sana sasa unategemea hiyo kodi itatoka wapi. Wafanyabiashara kutoka DRC na Zambia walikuwa wanakuja kununua bidhaa kariakoo kwasasa hawaji jiulize why. Mheshimiwa Rais Magufuli achukue hatua za haraka la sivyo uchumi utazidi kudorora. Bandari ya Dar sehemu kubwa ya kazi yao ni mizigo ya Transit tu.Mtoa post naamini kua kuna ngazi za juu endapo mteja hajaridhika na alichotendewa na ngazi za chini.Umetaja polisi na TRA lkn hujaweka ushahidi wowote. Unasema umeniuzulu lkn hujaonyesha ulikua unafanya kazi gani iliyokusababisha ufanye hivyo na yenye mahusiano na unacholalamikia hapa. Ukisoma ulichoandika ni kitu ulichokifanya kwa mhemuko na msukumo wa kisiasa zaidi kuliko hali halisi na km unabisha weka ushahidi hapa.
Kma imefkia hapo basi hawana nia njema na wafanya biashara.Informer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
Weka ushahidi tu manake maneno mengi hayasaidiiHakuna msukumo wa kisiasa hiyo ni fact. Wakuu wa Idara zote wamewekewa malengo ya kukusanya kodi ambayo ni ya juu sana inabidii na wao wapige kodi za juu. Ukichunguza mzunguko wa kifedha (buying and selling) upo chini sana sasa unategemea hiyo kodi itatoka wapi. Wafanyabiashara kutoka DRC na Zambia walikuwa wanakuja kununua bidhaa kariakoo kwasasa hawaji jiulize why. Mheshimiwa Rais Magufuli achukue hatua za haraka la sivyo uchumi utazidi kudorora. Bandari ya Dar sehemu kubwa ya kazi yao ni mizigo ya Transit tu.
Ushahidi usikae kwenye vijiwe vya kahawa zunguka ufanye mahojiano na research na wafanyabiashara na wafanyakazi wa TRA utapata jibu.Weka ushahidi tu manake maneno mengi hayasaidii
Hata Mimi nilizoea kunyonga expansion joint ya mamako sasa hivi niko hoi!!mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.
Hahaa...siku nyingine umzabue kofiInformer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
Hakuna cha Chadema wala CCM bali mfumo mbovu wa Uchumi.Mkuu ni kweli kwamba CDM walio wengi wanamhujumi JPM,lakini naamini pia kwamba si wote.Wapo CDM wanaomuunga Rais mkono kwa kazi nzuri anayoifanya.Lakini ni kweli pia kwamba wapo CCM wengi wanaomhujumu Rais!Hawa ni wale waliofaidika sana na mifumo na utendaji mbovu wa awamu zilizopita,hasa awamu ya tatu na nne.Kwa hiyo si kweli kwamba ni wanachama wa CDM tu wanaomhujumu Rais,hata wanachama wa CCM wanamhujumu.Infact si wanachama wa vyama hivyo tu wanaomhujumu,ila ni wale wote waliofaidika kwa njia moja au nyingine na utendaji mbovu wa awamu za tatu na nne.Swali zito ni watatambuliwaje ili waweze kuondolewa kwenye utumishi si TRA tu, ila popote walipo?
Nyie msi walaumu TIARAEI.Nilikuwa naamini kwamba somehow somewhere serikali inahujumiwa.Hii imehakikisha mawazo yangu.Ni tatizo la "old wine in a new bottle!" Nimekuwa natafakari kwa kina sana serikali ifanye nini,ifukuze wafanyakazi wote wa zamani ianze upya?Haiwezekani, kwa kuwa it's a very expensive exercise. Screening nayo kujua nani yuko pro-government ni ngumu.Dah,ni mziki mzito.Mungu atusaidie.Kazi ni ngumu sana.
Huyu aliyeandika hapa kulingana na maelezo yake bila shaka ni mfanyakazi wa TRA.Alishihudia huo ubambikaji.Why in the first place msiweke matozo halali mpaka tuanze kuAppeal na kupelekana kwa maboss?Mtoa post naamini kua kuna ngazi za juu endapo mteja hajaridhika na alichotendewa na ngazi za chini.Umetaja polisi na TRA lkn hujaweka ushahidi wowote. Unasema umeniuzulu lkn hujaonyesha ulikua unafanya kazi gani iliyokusababisha ufanye hivyo na yenye mahusiano na unacholalamikia hapa. Ukisoma ulichoandika ni kitu ulichokifanya kwa mhemuko na msukumo wa kisiasa zaidi kuliko hali halisi na km unabisha weka ushahidi hapa.
Kuonekana kufanya kazi ni pamoja na kusimamia kwenye haki.Kwanini wafanye uonevu?Nyie msi walaumu TIARAEI.
Tatizo ni target wanazo pewa na hofu ya kutumbuliwa.
Mm kama mfanyabiashara ni kweli tuba hali ngumu sana sana.
Jamaa wakija kwako ni shiida sio suala la rushwa ila wanataka waonekane wanafanya kazi.
uvutaji wa bangi si salama kwa afya ya akiliHata Mimi nilizoea kunyonga expansion joint ya mamako sasa hivi niko hoi!!
Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi,hizo porojo zenu na ujanjaujanja wa kijinga umepitwa na wakati.U
Umasikini unakusumbua
Wewe ndiye uliyeleta hoja km sikosei,vivyohivyo jukumu la kuithibotisha ni lako si la mtu mwingine.Please weka ushahidi manake who aserts must proofUshahidi usikae kwenye vijiwe vya kahawa zunguka ufanye mahojiano na research na wafanyabiashara na wafanyakazi wa TRA utapata jibu.
Mlizoea mteremko lipeni kodi kwa maendeleo ya Taifa.