CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM ndio chanzo cha tatizo kuu la kufeli kwa kila kitu nchini. Acheni kuwasingizia TRA. TRA wao ni watekelezaji tu wa amri na sera za CCM.
Ukipenda kumtafuta mchawi siku zote utampata tu. Ndio asili ya mtu mweusi, huwa yeye mwenyewe na udhaifu wake hajitazami.
 
Back
Top Bottom