CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

CCM, TRA inawahujumu na itawaangusha

Informer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
kumbe ndio zao wamelaaniwa
 
mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.
Mkuu, usikariri tu huo msemo. Hivi ni kweli enzi zinabadilika kwa kuweka ushuru ambao ni 200% ya thamani ya mzigo?
 
Machadema yamejaa tele TRA. Ajenda yao sasa ni kuwakomoa wafanyabiashara. Wakishakomoka watakuwa wanailaumu serikali ya ccm. Hivyo itakosa ubora machoni pa wengi

Vyombo vinavyohusika navyo vinaweza kulifanyia kazi hili, ama machadema yamejaa au hawana maarifa, ujuzi na nk.

Magufuli kazi kwako. Kama unawazungusha wale wale wa ujuzi, maarifa, tekniki zile zile unaenda kufeli, and big failure
nimeshaelewa chuki zako dhidi ya watu wa ukanda ule ambao wamesoma kwa bidii na wamejaA ktk taasisi nyeti za kifedha kama tra bot nk
we n mpuuzi tu huna lolote chuki zako peleka kwenu kolomije fala wewe,wakati wenzenu wakienda shule c mlikuwa busy kuchunga ngombe?
 
Informer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
mkuu uliwaweza
 
Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.

Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.

Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.

Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
On the contrary....CCM na Magufuli ndo wanawahujumu TRA na Wananchi
 
Mkuu, usikariri tu huo msemo. Hivi ni kweli enzi zinabadilika kwa kuweka ushuru ambao ni 200% ya thamani ya mzigo?
sio suala la kukariri cha msingi hapa ni kuwa wazalendo kwa kulipa kodi stahiki basi.
 
Back
Top Bottom